Recent content by ORCA ACE

  1. ORCA ACE

    Mungu anazungumza na Taifa Mungu anazungumza na watawala usiku huu

    Uko sahihi sana, ata ggwajima katoa siku mpaka zimeisha hakuna kilichojiri, dharau ziko palepale, utekaji uko palepale, dawa yake tungejaa kwa road viburi vingewaisha, aya leo tarehe28 kwa dharau kubwa nasikia watakua tanganyika packers' wakitukebei. Kifupi sisi c chochote kwao, tutulie kitulambe
  2. ORCA ACE

    Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Wakristo amkeni sasa, na mkiendelea kuwa machawa wa samia ata makanis ya Lutheran yatafungwa yote, pigeni dulu
  3. ORCA ACE

    Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

    Ni heri asiwe mweusi, weusi wenyewe akina askofu kilaini na rushwa za Escrow, aaah hatuwataki bana
  4. ORCA ACE

    PreGE2025 Kagera: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Ulikua uchaguzi au uchafuzi wa 2020 chini ya dictator JPM?
  5. ORCA ACE

    Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Nimewapenda bure aiseh, yaani wamenikosha sana hiyo jana
  6. ORCA ACE

    CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Mimi ni mwislam lkn naunga mkono TEC, penye haki na pasemwe, mistake huruma ya waislam wkt mmejaa uovu,
  7. ORCA ACE

    Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Wengine humu ni akili kisoda, yaani mmiliki wa biashara umfundishe juu ya hasara au faida ya biashara yake. Fala sana
  8. ORCA ACE

    Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

    Muwashukur walipa kodi wa bara, mmekua kama ndege wao wanakula bure tu au kwa kujipitisha kt majalala ya huku bara na kuchukua kilichobaki. Haturuhusiwi kuwa na Ardhi zbar ila nyie mpaka ifakara mna mashamba kabisq na haswa mkiwa huru kufanya shughuli zenu, kigambon karibia itaitwa pemba. Deni...
  9. ORCA ACE

    Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Wakae mara ngapi, if you have no data better keep quiet
  10. ORCA ACE

    Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

    Unatetea ufisadi?? Mimtu mingine sjui mkoje
  11. ORCA ACE

    Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

    Nadhan wafanyakazi hawa wanajipeleka wenyewe ili wanyooshwe. Kama washabaini hayo mapungufu, huu ujinga wanafanyiwa kwa utashi wao, nadhan ni muhimu uelewa wa wafanyakazi ukasaidia na kama ausaidii basi wakafie mbele
  12. ORCA ACE

    Tetesi: Magufuli na awamu iliyoua Biashara: Ngurdoto, Impala, Naura, Tours, Warithi waapa kuirudisha: Awamu 5 ilifilisi

    Kila siku hili liserikali linaachia viongozi wa ifisadi hii nchi, hivyo malipo kwa kazi aloifanya mtu naona kama ni halali
  13. ORCA ACE

    Askofu Ngonyani: Hakuna mahali popote katika Historia panapoonesha kuliwahi kuwepo Nchi /Taifa ya Palestine na ikavamiwa!

    Huwa sielewi, kama nabii ibrahim ndie alimzaa Ishmael na Isihaka vipi races zao zinakuwa tofauti??
Back
Top Bottom