Huu ni ukweli kaka hata wafanyabiashara matajiri wanalazimika kuingia huko ili kulinda mali zao.
lakini pia kuongeza utajiri wao maradufu kwa kufanya unfair lobbying kwenye tenda zinazotangazwa na pia kuhakikisha tenda yeyote iliyo kwenye industry yake haiendi mainstream na akiipata malipo...
Mara nyingi printing companies za kibongo ndio zinazo outsource printing kwa Wachina.
Wana waoutbid printing competitors wenzao wakibongo kwa kuweka bei ambayo ni below market price in Tz hivyo unakuta aliyeshinda tenda yeye mwenyewe hawezi deliver kazi hiyo kwa kununulia malighafi Kama...
Tunatengeneza mabango ya 3D yenye ubora na mvuto — yakikuweka mbele ya washindani kila siku.
Bango ni sauti ya biashara yako nasi tu washirika wako katika kuipa sauti biashara yako,
Mita 1 kwa TSh 350,000
📍Mwenge
☎️ 0743 147 859
Kwa wateja wetu wa thamani, Shukrani za dhati ziwaendee kwa support thabiti kupitia biashara zote mlizotupa mwaka 2024.
Tunafurahi kua nanyi & Tunatazamia kuwatumikia tena mwaka 2025.
Tunakutakia kheri & fanaka katika mwaka huu mpya.
🙏
Kwa wateja wetu wa thamani, Shukrani za dhati ziwaendee kwa support thabiti kupitia biashara zote mlizotupa mwaka 2024.
Tunafurahi kua nanyi & Tunatazamia kuwatumikia tena mwaka 2025.
Tunakutakia kheri & fanaka katika mwaka huu mpya.
🙏
Ukiwa na bango la 3D ni kama duka lako limepata sauti ya ukaribisho ifikayo mbali, bila hata wewe kutumia nguvu kutamka ujumbe wa ukaribisho.
☎️Whatsapp/call 0743717072
📍 Ubungo-Mawasiliano
Ndio, bango la 3D lina gharama, lakini kukosa wateja Kwa sababu yakutoonekana nako kuna gharama yake!
Ni kama kutokununua ngazi halafu unalalamika kwamba maembe yako juu sana mtini
Tu washirika wako katika kuiinua biashara yako kupitia bango za 3D
Wakala anayeonekana ndie anayefikiwa zaidi. Ndugu wakala busti sasa mzunguko wako na mabango ya 3D yaipayo biashara yako kuonekana zaidi hata katika upeo wa mbali bila kujalisha kua ni usiku kwani kwa usiku yanawaka taa.
☎️0743147859
📍 Ubungo-Mawasiliano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.