Recent content by Optimus62

  1. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uhasibu

    Kuna fursa Anahitaji mwasibu Tarime jinsia ke
  2. O

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari jenifa naomba weka username ya instagram au tiktok tuweze kuona content zako ili iwe rahis kukuita kwenye interview
  3. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari Passo

    Ofa yako kias gan kka
  4. O

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    K sawa mkuu ahsante ngoja nianze kufanya mchakato wa iyo leseni nione kma ntapata nianze kaz kaka
  5. O

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Iyo c3 naweza nikaipata haina shida ila waswas wangu upo kwenye abiria na kama kwel kuna maslah maana kuna mtu anataka kunipa gari ila yeye hesabu ni 20000 kwa siku je na mim ntabak na kitu nikikomaa mkuu em nielekeze kwa experince yako uliyovyofanya kaz
  6. O

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Naomba ni pm namba yako nataka kuanza iyo kaz bro unipe abc zake nijue naanzia wap
  7. O

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Kiongozi ushaanza tayr kaz
  8. O

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Mkubwa naomba ni pm namba yko unielekeze nataman kufanya iyo kaz
  9. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha hoho

    Mr masanzu tunaomba utupatie feedback ya kilimo chako
Back
Top Bottom