Naona huko kusemekana kumemgharimu jamaa hadi amekatwa kwenye kura ya maoni ya ubunge ?
Au wananchi wamemkataa kweli ?
Jamaa ukute ameonekana kiwa ni threat ndio maana amewekwa kando ?!
Kumbuka utakuwa unaongoza Watu na sio wanyama Kwamba unaweza kuwapelelesha utakavyo kwa kuwa hawana utashi,
Binadamu uvumilivu wale ni wa kitambo kidogo pamoja na ujinga wake unaozani.
Huwezi jua maamuzi atachukua na wakati gani.
Matharani ; nyumbani kwako unajiweza kifedha nakwambia ishi na...
Inategemea na misimamo ya baba yao ilivyokuwa kabla wakati wa uhai wake, kuna wanaume lazima watoto mheshimu michepuko yake. Anawaambia kabisa Huyu ni mama yenu kama yule mzazi.
Kabisa , kama mke wa Buhari ex president wa Nigeria ambae walishaachana na Buhari, Eti baada ya mwenzie kufa akaanza kujitokeza kutoa taarifa kadhaa wakati hajawahi kwenda kumuona wakati alipolazwa hospital,
Ndio familia ikaweza wazi kuwa sio mke wa alihemu na Kwamba walishaachana kitambo tu na...
Kusubiri hadi mambo yaharibike naona si busara.
Muhimu ni kuwa honest Kwamba maza alikuwa anamalizia kipindi cha JPM sasa kwa kuwa kimeisha na yeye Pengine anaona anataka kugombea Basi utaratibu ufuate na wengine wanaotaka washiriki kwa haki na uwazi kama ambavyo imekuwa ikifanyika na sio...
Lakini haipaswi kusubiri mambo yaharibike sana ndipo waweke mambo Sawa kwa mujibu wa utaratibu wa haki wa kutia nafasi kwa ambao wako interested kuchukua forms nao wajinadi.
Ni vema kuwa proactive kuliko reactive
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.