Recent content by Opportunistic

  1. O

    JamiiForums Tanzania Zipo wapi hoja za kumkosoa Rais Magufuli? Kama tumeishiwa bora tuungane naye tu

    H Umeme service Line bila rushwa hupatikani Maslahi ya watumishi,ajira,increament Wakulima wa kahawa,pamba,korosho kukopwa Milioni 50 kila Kijiji Computer,laptop kwa walimu Elezea kuhusu hayo bila povu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho: Tunapoelekea vyama vya upinzani huenda vikajeruhi, kuharibu mali na hata kusababisha mauaji ili kuhalalisha ''malalamiko'' yao

    Ebu jikite kwenye hoja kwa nini wasimamizi wamewaengua wagombea wa upinzani,hizo zingine ni propaganda
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe aanza kujitetea Mahakamani, Asema maana ya jina lake ni mtu Huru huku akitoa mifano ya watu waliowahi kutekwa au kuuawa

    Utapata nini? ebu tuwe na roho ya kupendana,njaa na fursa zisitutoe ufahamu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya Dhaifu: "Opportunistic" wa kisheria "anpojimwambafai"

    Watu wa fursa bwana una uhakika gani wanaomsupport ni wapinzani tu huyo sii ana ndugu na jamaa zake
  5. O

    JamiiForums Tanzania DC Arusha atamani mkurugenzi wa jiji Arusha awe RC

    Uchonganishi
  6. O

    JamiiForums Tanzania Assad: Sifahamu na wala sikuwai kufikiria kama ningetengeneza maadui katika kazi yangu ya CAG, ila nimesamehe mimi ni binadamu

    Hapo ndipo anapopata tabu kwa siasa za humu,ukiwa na mtazamo tofauti tayari ni upinzani eeeh team praise taratibu jamani njaa isiwatohe ufahamu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waja na mbinu mpya ya kuiba kura uchaguzi wa serikali za mitaa

    Huo utafiti umehoji watu wangapi mbona kwetu sijakuona,njaa inakutoa.ili uendelee na ajira yako ni bora wawepo walifurika ajira huna utakuwa karai
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola usihamishe channel, CCM inawakata watu mapanga uko kimya, unatuhamishia kwa Kigogo2014

    Kiboko yake ni musiba jimbo linaenda hilo
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waja na mbinu mpya ya kuiba kura uchaguzi wa serikali za mitaa

    Propaganda huwezi unajilazimisha kwa ajili ya njaa taja mafanikio ya chama chako nakushauri ubaki kuwa mpiga kura huna ushawishi badala kujenga unabomoa
  10. O

    JamiiForums Tanzania RC sio msemaji wa Ikulu wala sio mkuu wa usalama wa Rais

    Hiyo haijafata mkondo
  11. O

    JamiiForums Tanzania Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

    Kuna tusi hapo,kaonyesha matamanio yake ya kuwa rais
  12. O

    JamiiForums Tanzania Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

    Hiyo sii kazi ya mambosasa
Back
Top Bottom