Recent content by opotopot88

  1. O

    JamiiForums Tanzania Chagua hapa watatu tu wa kufanya nao stand up tour

    Kate Williams is the bst
  2. O

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho azikwapua milioni 10 za nabii mkuu GeorDavie, amuita mfalme

    Kristo akasema usimuite mtu baba ila yeye aliye juuuu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Ila wewe yoga umetucheza akili sana.mi nshachoka siku nzima nachokonoa tu hamna kitu mpaka saa tano hii.kwendraaaaaaaaaaaa
  4. O

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Aaarghhhhh
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi kaachiwa?

    aisee hawa waumini wake nao sasa wameshakua zaidi ya bongo muvi,yani hadi matarumbeta nasikia kabisaaa kama vile katoka.ila anapoishi naona kuna ujenzi umeanza wiki jana.huyu mama nahisi atatoka tu
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi kaachiwa?

    Duh huyu mama ni jirani yangu...ila muda huu nasikia shangweee benders ya zumaridi sasa inapepeaaa sasa ina Pepeaaaaa.kaachiliwa??tutakoma majirani sasa maake tulikua tumeanza kuzoea kulala bila makelele ya spika zake
  7. O

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Mkuu huyo farasi wa kijivu mbona 2011 aliachiliwa misri wakati wa Arab uprising.nenda YouTube andika PALE HORSE released.utamuona huyo farasi na mpanda farasi .farasi wa kijivu alinaswa na camera zooooote.kajionee ujiongezee maarifa
  8. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

    Nina kibamia ila dada zenu wananifurahia.vibamia hoyeeee ndo Mungu ashatupa sa mnajichunguza chunguza nn.shukuru kwa kibamia pia
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kufulia kubaya sana

    Tupo wengi ndg haupo mwenyewe
  10. O

    JamiiForums Tanzania "Ugumu wa maisha" unaleta hasira?

    Ukweli mwingi ndg
  11. O

    JamiiForums Tanzania God Is Zero

    Mungu ni halisi
  12. O

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Asante kubwaaaa kwa maarifa haya.Mungu akuzidishie
  13. O

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga weka vitu basi na wewe bana....
  14. O

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga nitese tu ila ndo sumu ya uzi huu ushaninyeshwa.kila mara naufungua uzi nione kama ume post ka kitu...alaaah.sikomi kungoja hio chakula ya akili
  15. O

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    We yoga unachotufanyia .....
Back
Top Bottom