Recent content by opangabelden

  1. O

    Rais wangu Magufuli, Fanya jambo moja tu, mengine yaache yapite!

    Andiko zuri kaka Yericko............. mwenye kusikia na asikie
  2. O

    Act of Giving

    There's always something you can give. No one is ever too poor to give; a smile, a hug, a compliment, a meal, a word, a touch. Have you ever paused to thank your local grocery shop for bringing you fresh vegetables and fruits almost to your doorstep? Ever said hello to your boda or taxi guy...
  3. O

    Hali ngumu ya maisha ya rafiki niliyesoma naye imenisononesha sana...

    Dah, inasikitisha, inauma lakini maisha lazima yaendelee....... hongera mkuu angalau kumshika mkono kwa walau 12000 wakati aliomba 5000 tu, hiyo najua ilikuwa msaada mkubwa zaidi..... th little things we do with love makes great impact.......
  4. O

    TV4Sale Samsung 50" LED TV Full HD

    Is it negotiable mkuu? ipo wapi Dar au?
  5. O

    Raha na Vioja vya disko na mikusanyiko ya kidini shule za bweni(Boarding Schools)

    Aiseeee nouma sana, ukiona vyaelea jua vimeundwa............. afu siku hiyo hata menu ni tofauti na katikati ya week........old good days!!
  6. O

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    Asante Mshana kwa taarifa na angalizo, lakini usiishie hapa, kama jina la shule unalo na wewe ni mzalendo fuatilia hadi shuleni ili kuwasaidia hawa watoto, ufuatiliaji uanzie kwako.................
  7. O

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    Duh, kasheshe hapo, tuwaite wakoloni waje watuamulie basii
  8. O

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    Sasa kama boarder na Mozambique ni katikati ya ziwa Nyasa/Malawi, kwa nini kwa Tanzania wanataka iwe kwenye fukwe zetu????
  9. O

    Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    Ha haha aaaaaaaaaaaaaa kweli mkuu ngoja tumsikilize ngosha anasemaje kuhusu hili
  10. O

    Tatizo kubwa kwa kupungua nguvu za kiume siyo aina ya chakula bali

    Mkuu labda utuambie ni kula kwa kiasi gani kunakuwa na madhara.............mfano slice ya mkati ni mbaya au mpaka nipige kama nusu hivi? I know too much of something is dangerous but wataalam wa lishe nao wanasema ule kdgo kwa afya, hii imekaaje?
Back
Top Bottom