Recent content by onyx

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sipendwi maana vituko vimezidi, nawezaje kumsahau?

    Usiogope, njoo kwangu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kokoto

    Process, -Uwe na kitalu cha madini ya kokoto -Uwe na leseni ya uchimbaji madini, kwa wewe unatakiwa uwe na PML, Primary Mining License -Uwe na leseni ya ukaguzi wa mazingira, NEMC -Osha -Leseni ya biashara Asante
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sipendwi maana vituko vimezidi, nawezaje kumsahau?

    Hapana, mimisipo hivyo
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sipendwi maana vituko vimezidi, nawezaje kumsahau?

    Watu wanaongea vitu havijawakuta, ni kipindi kigumu sana
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sipendwi maana vituko vimezidi, nawezaje kumsahau?

    pole sana, njoo kwangu
  6. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina huruma kupita kiasi, siwezi hata kuchinja kuku

    Ila wewe si mkuria, tena jembe na juzi nimekuona ukihojiwa kuhusu tigo fiesta pande za Musoma
  7. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Sio lazima uende Temeke, maduka mengi ya dawa asilia zipo. Mimi nipo nje ya dar ila napata kirahisi
  8. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Inatibu magonjwa mengi sana, mojawapo ni hilo. Utarudisha mrejesho hapa, ni tamu tamu kama asali
  9. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Mkuu kuna dawa ya kiasili nikutumie namba ukaitafute, imenisaidia kwa kiasi mimi, ujitahidi utimize chupa saba. Inapatikana Temeke huko, 0712715253
  10. O

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA JAMAN.

    Bongo movie
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe unakabiliana vipi na Hali hii

    [QUOTNinanyix, post: 22693072, member: 199534"]Hivi hali ilivyo ngumu hv unaweza kaa ukawaza mahaba full time.. Bila pepo la pesa kukupitia ukagundua account yako ukichomeka kadi kwenye ATM hata haishtuki Sent using Jamii Forums mobile app Mkuu jina lako linafanana kidogo na langu, lako Lina...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mr Nice awatolea povu wanaomsema vibaya aanika utajiri wake insta

    Umbea noma
  13. O

    JamiiForums Tanzania Accacia na barrick waliwahi kufukuzwa Zambia na Chile kwa uhujumu uchumi, unyanyasaji wafanyakazi

    Sasa ukinijua inakusaidia nini. Mimi ni kweli najulikana, Ila sijatetea Ila nimekuambia kuhusu Zambia umeandika uongo ndio nimekuambia. Mimi ni engineer na huo mgodi kuna kipindi nilitaka enda kufanya kazi mipango haikutimia. Kuhusu nchi zingine sijui ndio maana sijaelezea. Acha mawazo mgando
  14. O

    JamiiForums Tanzania Accacia na barrick waliwahi kufukuzwa Zambia na Chile kwa uhujumu uchumi, unyanyasaji wafanyakazi

    We jamaa muongo Sana. Barrick imeingia Zambia juzi Tu, tena Kwa kununua project na mgodi huo inaitwa Lumwana, na umefunguliwa 2011. Acha majungu ambayo mengine sio ukweli.
Back
Top Bottom