Recent content by OnTheEarth

  1. O

    TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

    Shida kubwa ya jamii yetu au watu-wapagani, ni kwamba hawawezi kutatua matatizo au changamoto zao; au kujenga hoja bila kuangalia shida, hoja, tatizo au changamoto yenyewe. Kunapotokea tatizo au makosa au changamoto, tunakataa kukabiliana na hali hiyo na badala yake tunatafuta namna ya...
  2. O

    Hapa ndipo inapotoka nguvu ya Kanisa Katoliki

    Taifa lako ni lipi? Kwa msingi gani unasema maaskofu wanatumikia Vatican?
  3. O

    Hapa ndipo inapotoka nguvu ya Kanisa Katoliki

    Umesema yote kwa mara moja. Miaka zaidi ya elfu mbili kuna tawala mbalimbali zenye nguvu zilikuja na kuondoka. Kuna uzushi na mavuguvu mbalimbali yalikuja na kuondoka. Kwa mtu makini anaeangalia historia, hawezi kusema Kanisa Katoliki lina nguvu kwa sababu ya idadi yake ya watu duniani, au...
  4. O

    Hapa ndipo inapotoka nguvu ya Kanisa Katoliki

    Hiyo unasema Katoliki ya mashariki, ndio orthodox. Unajua kwa nini kuna Orthodox na Catholic, Roma? Kuna tofauti ya nguvu, na mamlaka. Kanisa Katoliki ni "mamlaka ya dini" duniani. Kwa hiyo hapa sio suala la nguvu. Huko ambako unasema Kanisa Katoliki halina nguvu, sheria zao zina-violate...
  5. O

    Hapa ndipo inapotoka nguvu ya Kanisa Katoliki

    Kanisa Katoliki sio dhehebu. Kanisa Katoliki sio taasisi. Kanisa Katoliki ni Mamlaka. Kanisa Katoliki ni mamlaka ya dini. Ndilo lililo na mamlaka yote duniani juu ya watu na Serikali. Nguvu ya Kanisa Katoliki si kwa sababu ndilo lina waamini wengi duniani au kwa sababu lina nguvu za uchumi na...
  6. O

    Rais Paul Kagame aahidi kuwasweka gerezani mahujaji wa Kikatoliki wanaotukuza ufukara

    Nchi zetu hizi zinazoendelea watu wake wana matatizo mengi. Jamii hizi au watu hawa akil; fikira na mawazo yao yako tu kwenye hela. Wao wanawaza tu hela. Hili ni tatizo na hatari kubwa kwa ustawi wa watu. Kanisa katoliki halijatangaza kuthibitisha hilo eneo la Kibeho kwamba ni kweli Mama Yetu...
  7. O

    Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Unajua nchi zetu hizi masikini maana yake ni nchi za watu wajinga na wapagani: "watu wasio na uelewa wa mambo na elimu ya vitu'. Wewe unapowaambia au unaposema watu wasichanganye dini na siasa una maana gani? Dini ni kwa ajili ya nini? Siasa ni kwa ajili ya nini? Kati ya Dini na Siasa nani...
  8. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Kujibu swali au maswali haya, ni lazima kwanza tujibu swali 'Mungu ni nini?' Na pia swali 'Mtu ni nini?' Kufikiri kwako kunaonyesha kuwa wewe unakataa ukweli kuwa wewe ni mtu na kwamba wewe si kiumbe chenye akili (ubongo).
  9. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Iangalie jamii yako au yetu au watu, kuna nini? Morality?
  10. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Elimu ya Geography imekuwa na kuendelea. Kuna tafiti nyingi kuhusiana na hiki tunachofahamu kama majanga ya asili. Tafiti zinaonyesha kuwa karibu asilimia zote chanzo cha hayo tunafahamu kama majanga ya asili yanatokana na mwelekeo au shughuli za mtu mwenyewe. Kuna ukweli huu muhimu: dunia...
  11. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Elimu ya mambo haya inaelezwa wazi kwenye Geography
  12. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Jifunze kuhusu "Akili". Hilo la kwanza na la pili jifunze kuhusu "Uhuru". Utajua hiki unachokiuliza.
  13. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Fikira kama hizi au mawazo kama haya au maswali kama haya yanaashiria kwamba kuna shida kwenye ubongo wako. Mtu anaefikiri au kuwaza hivi unaufunga ubongo wake kufanya kazi inavyotakiwa hivyo mtu au watu wa aina hii hawawezi kuchunguza mambo na vitu au kufanya tafiti. Fikira au mawazo au...
  14. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Kuumbwa kwa dunia ni jambo moja na kuwepo kwa uovu duniani ni jambo jingine. Ouvu duniani hakuna uhusiano na Mungu kuumba dunia. Ouvu ni maelekeo ya mtu mwenyewe, ni uhuru wa mtu mwenyewe. Dunia sio uovu. Mungu hakuumba dunia yenye uovu au mabaya.
  15. O

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Mungu, na uovu au ubaya ni mambo ambayo hayawezi kukaa pamoja.
Back
Top Bottom