Recent content by only connect

  1. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu imejaa watu wanafiki, wazandiki na waongo

    For the firt time tangu niwe member humt jf nimeanza kuamini kuwa humu kuna great thinkers. What u have said is absolutely right
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Hizo fedha za MCC ndizo zilizofanya ndugu zenu waishio vijijini kupata umeme. Kama Magufuli ana dhamila ya dhati kusaidia Taifa hili hana budi kutatua mgogoro wa zanzibar haraka sana. Nashangaa kuona watu wanamshabikia Magufuli kama timu ya mpira. Sasa naanza kuamini tafiti zilizoonesha kuwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli akifanya kama Mwanawasa kuna madhara gani?

    Wewe ulitegemea JK akiri kuwa alitumia madaraka yake vibaya? Very stupid
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Haya ni baadhi ya mambo mazuri aliyoyafanya Jakaya Kikwete

    Unaweza kuwa maarufu kwa kutenda maovu idiot!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa USA angekuwa Republican

    I agree with you, I really think it wont work. You cant win F1 race by just having good accerelation. You must have good top speed as well. I hope I'm wrong but I really think cutting down spending can shrink the economy
  6. O

    JamiiForums Tanzania ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

    Hakika ccm ni laana, wana ccm wote akili zao zinafana, hawana reasoning hata kidogo. Jana nilimuona jamaa mmoja wa ccm channel ten alikuwa akiongea hovyo kabisa, na ni mmoja ya wana ccm waliochukua fomu ya kugombea urais. He was absolutely insane. Sijui kwa nini ukiwa ccm akili inakuwa mgando...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Maalim Seifu na CUF Zanzibari kuweni makini sana!

    Umeeleza vizuri, lakini bado hujatoa ushauri kuwa Maalim Seif afanye nini?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wake za Magufuli na Lowassa

    Magufuli hazunguki na mkewe kwa kuwa ana wake wengi
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hizi TV zimegeuka kuwa mabango ya kampeni za mgombea mmoja!

    Kweli kabisa mkuu. Star TV,Chten,louds tv na TBC ni aibu kubwa sana kwa taifa letu. badala wao waonyeshe mfano wa kuwa role model wao wanakuwa malimbukeni. Its a big shame. Hawalitendei haki taifa na pia hawaitendei haki taaluma yao. Kwa keli tuna safari ndefu sana
  10. O

    JamiiForums Tanzania Unafiki matamasha ya kuombea amani nchi

    safi sana ndugu yangu kwa kuandika facts. Tatizo nchi hii kila kitu ni siasa, wanataka kumfanyia siasa hata Mungu. Ni wazi kuwa amani hupatikana pale tu haki inapotendeka, sasa kwa nini watanzania wakiwemo watumishi wa Mungu hawalioni hili? Haiitaji elimu yeyote kujua kuwa tunda la amani ni haki...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kama chama kina chukua uwamuzi gani

    it's a shame, utamtofautishaje huyu jamaa na mvuta bangi?
  12. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    lowassa
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Ki ukweli nimesikitika sana. Hivi nchi hii ina laana gani? Kwa nini watu hawajielewi? Tatizo ni nini? Pesa kidogo tuu unaamua kusaliti ukweli ambao unaweza kunufaisha vizazi vingi vijavyo. This is as bad as it gets.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tumewekeana dau la laki tano kwamba Lowassa anakuwa Rais baada ya October

    I think Lowassa will be the president
  15. O

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Swali lako la multiple choice lingekuwa na option ya 4. NONE OF THEM
Back
Top Bottom