Kwahiyo serikali hii haitaki kusikia neno haki? Halafu kwa nini mawakili hao hao baadhi watumike kuondoa wenzao? Hivi kazi ya uwakili ni kuisifia serikali au kulinda haki za jamii?
Acha niwaibie Siri Leo! Ile Siri kati ya Hawa na Shetani ( nyoka) imeanza kuvuja. Kuna wanaume wasioweza kubeba vitu vizito vifuani. Hao baada ya kupata hiyo Siri wanaona Bora wamalizane na wake/ wapenzi wao. Ndugu zangu tusidadisi mambo ya ndani Toka kwa wenza wetu, Ili tuishi kwa amani na...
Tatizo lenu mnaoongea na bubu mnadhani anasikia na atawajibu. CCM ashajichokoea hawezi kujibu, ila ukitaka jibu subiri jeshi la polisi watakuja kujibu kwa niaba au Mwaipopo atakufuata na jeshi lake!
Heshima ya walimu inashuka sababu mnawashirikisha kwenye wizi wawaibie ccm kura mshinde uchaguzi kwa kkishindo. Ebu niambieni kama mwezi ashawahi kupata heshima?
Huo mdomo wa Wassira nadhani unatakiwa uwekewe pazia maana haelewi anachoongea. Siyo makosa yake , naona ni kupoteza kumbukumbu sababu ya uzee. Mabingwa wa ahirisho ni mawakili wa serikali ambao wanashupalia kesi isiyo na evidence. Anyway acha tuone
kwa uvivu wa watanzania hakuna anayeweza kusoma isipokuwa wachache wanaoshughulisha akili zao. Halafu wakishashughulisha kichwa wanakuja wavivu kuwaweka ndani kisingizio eti uchochezi. Kifupi the big brains wanaoonekana kuwa ni wasaliti na brains ndogo hutumika kutawala sababu ya pesa na nguvu...
Unamuota nani ndugu yako? Huu ushauri mpe mkeo au mumeo huyo mnayeshirikiana kuleta upuuzi kama huu. Achaneneni na Chadema IFANYE shughuli za siasa. Chokochoko hizi pelekeni kwenye familia zenu . Watu mnawashwa mmakalio tu eti Chadema!!! khaaaa!!
Bora wametusanulia jinsi shosti wao anavyowatumia kuhujumu CHAMA. Ila nashindwa kuelewa kuwa wapo baadhi kazij Yao ni dili kukisambaratisha CHAMA tu na siyo eti ni wapinzani. Chadema Iko imara Hawa wanajitekenya tu kwani wanataka nani awasikilize. Wakati wanarubuniwa kutoa taarifa za kinafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.