Recent content by Onjwaria

  1. O

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli anawalaumu na kuwashtaki watangulizi wake kiaina?

    "Kila mwenye Mke anaamini kuwa wa kwake ni bora kuliko wa mwingine" said, Arsen Wenger
  2. O

    JamiiForums Tanzania How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

    Mimi kwanza nyumba inavuja hayo mandege sijui kama yana thamani kama bei ya bati kushuka
  3. O

    JamiiForums Tanzania Bora rais wetu hakwenda Urusi kuliko hawa walioenda kuuchapa usingizi mkutanoni

    Mmmmm mmmmm nadhani aliyewalaani ni ibilisi mwenyewe bila mawakala. Mtu unavuta pozi safi kumbe picha ya Ramaphosa na Kaguta wakikoroma. Bongo badooooooooo
  4. O

    JamiiForums Tanzania Sababu za Majaliwa Kuwekwa bench Mkutano wa Mabeberu

    Bongo MNA maneno nilidhani unatujuza nini kimeongelewa kumbe nani kawa wa kwanza, jamani mb zangu mbona Hanna huruma
  5. O

    JamiiForums Tanzania Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Tuchanganyeni tu na mahesabu mnaelewa wazi haya mambo ya mikataba wengi wetu tuko mbumbumbu ila haki ya Mungu this time msije mkagusa hizo ndege
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kumbe tarehe 26/10/2019 itakuwa ni siku ya mapokezi ya ndege!

    Hakuna deni huko Nje
  7. O

    JamiiForums Tanzania Walimu Lindi wanateseka, Jumamosi na Jumapili kwao zimekuwa siku za kazi

    Hongereni sana walimu kwa kujali waajibu wenu. Post nzuri sana endeleeni kuwa chachu ya maendeleo
  8. O

    JamiiForums Tanzania Zitto akiukosa ubunge 2020 atafanya kazi gani?

    Hata nawaza tu! Hivi JF wakiaamua Leo kutumia lugha ya kiingereza je hii post ungeiandika kweli? Vivyo hivyo na sisi tunavyojiuliza posts nyingiiiiiii na comments ndefuuuuuuu kweli zitakuwepo?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuna watu wanasema Rais Magufuli ananyoosha nchi lakini ukiaangalia vizuri utagundua 'kinachonyooshwa' ni maisha yao

    Kumbe Mkuu kawivu ndio kanakusumbua, acha wenzako washikilie kamba wakati nchi inanyookaa
  10. O

    JamiiForums Tanzania Profesa kijana apewa Ubalozi

    Wewe unajua humu tupo maprofesee wa mitandaoni English Kwetu hadi tulewe
  11. O

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Rais yako Dar es Salaam au Dodoma?

    Wewe unaahangaika na nini anapolalaa baba yako ndiko kwenu. Una lingine?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma kila Ijumaa kuvaa jezi ya timu ya Taifa kuhimiza uzalendo

    Naona dalili za watu kudai nyongeza ya mishahara
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawataka wadhamini wa Lissu kuleta vithibitisho vya maendeleo ya afya yake

    Kihama hiki kwa jinsi muenendo wa hii kesi ilivyokaa
  14. O

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo ampa siku 14 DC wa Iringa Mjini kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya

    Hiyo si itakuwa Nyumba ya makaratasi isije ikawa zile Sanaa tulizotengeneza enzi za mwalimu.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

    Tubadilike na mifano yetu, Msuya kupewa uteuzi ni kumpunguzia njaa na kulindana
Back
Top Bottom