Kwa muda sasa kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusukufanyika kwa maridhiano ya kitaifa kufutia matukio ya baada. ya uchaguzi mkuu wa mwaka Jana.Kuna wanaotaka maridiano ili kuliponya taifa kufuatia maumivu yaliyolikumba taifa kabla na baada ya uchaguzi,na engine wakiona maridhiano hayo ni kupiteza...
Kama kweli maridhiano ni kuwaleta Watanzania pamoja,basi nu muhimu kufanya utafiti Tundu Lisu ana wafuasi wangapi kabla hatujabeza umuhimu wa ushiriki wake yeye na chama chake kwenye hayo maridhiano.
Kama mawazo hays ni ya kiongozi basi Sisi wananchi tujue hapa hatuna kiongozi.
Mapato ya serikali yanapoteaje kwa basi kushusha na kupakia abiria kwenye kituo kingine nje ya stand ya Magufuli ili Hali kituo kimefuata taratibu zote ikiwemo kusajiliwa na kulipa Kodi zote za serikali?
Mimi kwa kweli sifahamu lengo la hili agizo la serikali ni Kwa maslahi ya Nani.
Kama lengo ni kufanya kutuo cha Magufuli kipate mapato zaidi,mapato hayo ni Kwa manufaa ya Nani?
Lakini pia kuna dhana ambayo Mimi ninaiamini inayosema kuwa mipango yoyote ya serikali ni lazima ilete matokeo chanya...
Mambo engine tunajitakia wenyewe kwa kushadidia. tamaduni za Magharibi na kuacha za kwetu Waafrika.
Mfano tumekuwa tukitumia nguvu Sana kupinga adhabu ya fimbo mashuleni na majumbani,matokeo yake tunakuja kutumia risasi na magereza kuwarekebisha watu wakishakuwa wakubwa.
Tumekuwa pia tunatumia...
Kwa maoni yangu,kupatikama katiba mpya iliyo bora ndani ya mufa tulip nap ikufikia. Chaguzi zijazo sio rahisi.
Nashauri yafanyike tu marekebisho yanayolenga kutatua matatizo makubwa yanayozalisha haya madai ya haraka ya kuipata katiba kabla ya uchaguzi ili kuepusha yaliyojitokeza katika chaguzi...
Tatizo Taifa kwa sasa lina watu wengi wanajali zaidi maslahi binafsi kuliko maslahi ya Taifa.
Watu wameweka pembeni taaluma zao,waneweka pembeni imani zao za kiroho na wameweka pembeni ubinadamu wao na kutanguliza mbele maslahi yao binafsi.
Ni bahati mbaya pia kuwa mfumo wa utawala umeweka...
Napendekeza CAG afanye pia ukaguzi kwenye rasilimali watu,sio tu kuishia kukagua rasilimali pesa pekee.
Naamini huko kwenye rasilimali watu kuna Madudu mengi na ya hatari kuliko hata tunayoyashuhudia kwenye hizi ripoti za ukaguzi kwa sasa.
Kama lengo lenu lilikuwa ni kugombea na kupata ulaji tafuteni pa kwenda.
Ila kama lengo lenu lilikuwa kuikomboa nchi kama viongozi wenu wanavyodai. Basi komaeni hukohuko tu.
Iko siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.