Mh!! !Tutasikia mengi mwaka huu kuhusu watangaza nia na mabomu yao yanayo lipuka kipindi hiki na hisi kama bado mabomu mengine ya wale wengine sijui nayo yatalipuliwa lini nao wajitete/watolee maelezo kama hivi.Hahahahah, Nchi yetu bwana jambo likianza kuharibika ndio utasikia linaanza kutolewa...
Nilisikia mda kidogo juu ya jambo hili mpaka ikapelekea Mwakyembe kuunda kamati juu ya jambo hili mara tena nikasikia Mwakyembe kaamishwa wizara alipokuja Samweli sita nae karigusia kidogo kwa kutaka kamati ile ilete taarifa lkn mpaka ss bado kimya, Kwa mwendo huu ni bora ile taarifa ya kamati...
Huyu Adui rushwa huyu!!!! Anazidi kulitafuna taifa, kila sehemu jambo linapotokea utasikia kuna mianya ya rushwa sijui mwisho wake itakua nn kwa Taifa letu huku tunapo elekea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.