Recent content by onene

  1. onene

    Eti kina Saed Kubenea ndo 'think tanks' wa CHADEMA! Lazima CHADEMA ife tu!

    Chai sio tatizo kwake, anapitia buku 7 yake pale maisha yanaenda.
  2. onene

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Unajua ukizoea kutumiwa ni shida sana, maana muda wote unahisi kila mtu anatumiwa kama wewe, kimaadili askari hawezi kubebwa vile akiwa kwenye uniform.
  3. onene

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Walitabiri itakufa kabla ya uchaguzi na bado inawatoa jasho.
  4. onene

    Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Kutetea utawala wa jk inabidi ujitoe fahamu.
  5. onene

    Ushauri kwa Zitto Kabwe: Aunganishe nguvu na Hamad Rashid

    Ni sahihi sababu inajua haitotenda haki huoni polisi wa burundi wanavyopata tabu? Hawana vifaa
  6. onene

    JWTZ Imezima Fitna za Mbowe Dhidi ya Kikwete: Ni Kuhusu Kujiongezea Muda Ikulu

    Hiyo taarifa ina mapungufu mengi, mleta mada bila shaka ni mrundi maana hata kiswahili ni shida kwake.
  7. onene

    Uandikishaji bvr daodoma serikali yafanya siri

    Ni kwa nn wasipite mitaani kutangaza tareh ya kuanza uandikishaji kama ambavyo huwa wanatangaza dawa za matende na busha?
  8. onene

    Kitila abainisha madhaifu mawili ya Zitto Kabwe Katika Uongozi

    Mkuu huenda alishamwambia moja kwa moja ila huyu dogo haambiliki, na huwa anaona yeye ana uwezo wa kufikiri zaidi ya wenzake.
  9. onene

    CHADEMA yajiengua UKAWA

    Kila zama na nabii wake. Zama za zitto zishapita hilo lazima mtalikubali tu, ni suala la muda tu.
  10. onene

    Kama Slaa atakuwa Rais nani atakuwa first lady?

    mleta mada nina uhakika kichwa chako ni cha kufugia nywele tu
  11. onene

    CCM ama UKAWA MMOJA WAO KUSAMBARATIKA KAMA MNARA WA BABEL.

    Mkuu Weka akiba ya maneno. Ili baada ya october iwe rahisi kwako kujirudi.
  12. onene

    Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Kwani mbio za mwenge mwisho wake huwa ni nini?
  13. onene

    Upinzani wakishinda urais, CCM watapisha Ikulu?

    Nimeipenda hii. Hilo liko wazi maana ccm wanaona wana hati miliki ya kila kitu kwenye nchi hii.
Back
Top Bottom