Recent content by One yes

  1. One yes

    Marekani: Afrika inakuhitaji rudi uwe nasi

    Duuh😭nilkua sina mood ya kucoment lakin imebidi.Hivi wew unaesema marekan ndo baba arudi kutubeba kwani hatujiwezi japo kidogo tu, alitubeba toka 1962 until now n miaka mingap pia mtoto akishakua mkubwa lazima atoke kwao ajitafutie sas ni mda wetu na sisi kujikung'uta vumbi na kuachia mashuka,so...
  2. One yes

    Kuhusu kazi za ulinzi Zanzibar

    No za watsap zikowap
  3. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Unamamisha kua kat ya vyuo ivo wana offer scholarship
  4. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Sikuju kama course ya radiography inamkopo wa heslb
  5. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Sikulijua ilo na kwa kipind cha mwez wa nane corse yang ilkua bado haijawekwa qenye orodha nmekuja kigundua mwishon kabsa
  6. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Hali ya maisha nyumban magumu maisha ya tabu natmani nifnkiwe nisaidie familia nyumban
  7. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Daaah inaniuma sana ila sina namna kukubaliana na matokeo
  8. One yes

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Habari wakuu!! Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma. Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao. Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
Back
Top Bottom