Recent content by one nronga

  1. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aachane na Kauli za 'Kihuni' tafadhali

    Maskini Tanzania. 2020 aslan tusirudie makosa ya 2015.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki kuwaongoza watu wewe unataka kutawala zingatia misingi ya utawala bora na uwazi

    Pascal no.4 inatuhusu sana
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania utoe pole na kulaani mauaji huko Marekani!

    Hivi hawa wanaofanya huu ukatili ni Watanganyika kweli? Siamini lazma watakuwa wanatokea Rwanda tu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Ni wa mfano wa kuigwa na wewe tu.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mhe. Spika, kwanini Bunge lisijibu hoja za Mhe. Tundu Lissu kuhusu gharama za matibabu yake?

    Walotaka kumuuwa Lisu hawakuwa na plan B iwapo wasingefanikiwa,sasa ni aibu kwao hakufa. Laana haitawaacha. Kubwa ni kwamba Kaka Lisu atapona na kutembea wima na kuleta uhuru kamili kwa watanzania wote wanaonyanyaswa na waimla walotamalaki kila pembe ya nchi yetu.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu Magufuli, hakukuwa na haja ya kulazimisha kuonesha kuwa CCM sasa ni moja. Asilimia 100 si kweli!

    Mara nyingi ushindi wa namna hii hupatikana kwa watu aina ya kagame,Mugabe au museveni tu hapa duniani.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Sasa kama utawala wake unakubalika mabomu kila kukicha ya nini?

    Chema chajiuza kibaya hutumia mabavu kuuzwa
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kwani hakuna uwezekano wa kufanya hivi wakitaka kujenga Fly Over?

    Tingatinga ktk ubora wake
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi!

    Mie pangaboi sipandi hata kama ni lift
  10. O

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya Kimara ilivyozika zaidi ya Sh60 bilioni

    Mwenye mamlaka kaamua kutughilikisha,Mungu ndiye kimbilio letu
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Namshukuru Mungu sana kwakuwa sikumchagua na sijawahi kumwamini kwa lolote lile. Sijutii uamuzi wangu kwani nilimfahamu tangia mwanzo kuwa ni mtu wa visasi na chuki kupindukia.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Magazeti yatawaliwa na habari za kuingizwa mkenge kwa Serikali ya Tanzania

    Rejea maelezo ya ZZK khs tulowapa nchi. Napita
  13. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anafuata nyayo za Rais Erdogan wa Uturuki

    Wanafanana kwenye eneo moja:kutotii katiba walizoapa kutii.
Back
Top Bottom