Recent content by One love again

  1. O

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni, Manispaa ya Kahama ni mbovu sana

    Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni katika Manispaa ya Kahama imekuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na hali yake kuwa mbaya kwa muda mrefu. Ubovu wa barabara hiyo unasababisha usumbufu na changamoto mbalimbali kwa watumiaji, hususan kina mama wajawazito, wagonjwa na waendesha vyombo vya...
  2. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Kahama, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilango hakuna ofisi ya Kijiji

    Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa serikali za mitaa. Kwa mfano, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilago, hakina ofisi ya kijiji. Hali hii...
  3. O

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za rushwa na ukiritimba wanaokutana nao Wajawazito katika Kituo cha Afya cha NYASUBI , Kahama

    Namba ya mganga mfawidhi wa NYASUBI health center, anayefadhili ukilitimba wa kuwatoza wajawazito,0785401957 naaminia Jf italeta matokeo haraka zaidi
  4. O

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za rushwa na ukiritimba wanaokutana nao Wajawazito katika Kituo cha Afya cha NYASUBI , Kahama

    Naomba mamlaka husika zichukue hatua za haraka kudhibiti vitendo vya rushwa na udanganyifu vinavyodaiwa kufanyika katika maeneo ya malipo na mapokezi ya baadhi ya vituo vya afya, ambavyo vinawaweka wagonjwa katika mazingira ya kunyanyaswa na kupoteza fedha zao. Inadaiwa kuwa wakati mwingine...
  5. O

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za rushwa na ukiritimba wanaokutana nao Wajawazito katika Kituo cha Afya cha NYASUBI , Kahama

    Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo. Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na: Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu. ABO/Rh –...
  6. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mapato yanayotokana na mgodi uliopo Mwime hayajawahi kuwasilishwa

    Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za mapato yanayotokana na mgodi uliopo katika eneo letu. Wananchi tunaeleza kuwa kila duara linalofika...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu mimba

    Unamaanisha nini mkuu
  8. O

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu mimba

    Unamaanisha nini tafadhari
  9. O

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu mimba

    Je mwanamke akiwa na mimba hedhi inaweza kuendela kutoka?au imekaaje wakuu,naomba ufafanuzi Kwa madakitari na mtu yoyote mwenye uelewa humu JF
  10. O

    JamiiForums Tanzania Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

    Utandawazi hasa teknolojia ndio hufanya hivo hofu Tena haipo.pia wingi wa watu
  11. O

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwenda na hela ya dawati, wakati wa kumsajili mwanafunzi kidato cha kwanza

    Kuna mwalimu mkuu wa shule x ya secondary kahama amekua na tabia za kuwatoza fedha ya dawati tsh themanini elfu 80000, kila mwanafunzi anayejiunga kidato Cha kwanza, mwalimu huyu hutumia vitisho sana, akidai hamna dawati za kukalia, hata hivyo ukilipia tu mwanafunzi anapewa sehemu ya kukaa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimerejea Tena kwenye team ya JF

    Wakuu nimerejea Tena baada ya muda kidogo niliikumbuka sana jf na wote ndugu zangu wa humu jukwaani nashukuru nimerejea
Back
Top Bottom