Unahangaika Kwa lip? Fanya kumpeleka lodge then tomasa unavyo weza akiwa tayari kwa mechi vaa nguo sepa abak anahangaika na kitanda cha lodge pekee ake; nadhan atoktafta tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel mkuu; ila nlitaman kuwa mkemia ila kama ivo kupata kazi ad connection na familia zet izo nitakaa na vyet miaka mingi Coz ata mtaj n shda t
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezakana pia nikasoma ndio maana nimeomba ushauri kwanza; hivi kwa Tanzania ni vyuo gani vinatoa BSc ya lab technician? na Kwa Diploma yang ya education naweza changuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natanguliza shukuran; na pole kwa usumbufu wa gonjwa la corona;
Mimi nimehitimu Diploma in secondary education (Chemistry &biology) (2018) na nilipata GPA 3.5; ila kwa sasa sija ajiriwa ila nimepanga baada ya changamoto ya corona kuisha niende University kusoma degree ya kwanza.
Je, kwa kozi...
Haahaa!! Ulitaka apate GPA ya 3.5 kwenda juu au,,, ila nakuhakikishia kuwa alifaulu vizuri coz diploma ya ualimu kupata GPA ya 3.5 kwa masomo ya sayansi ni issue nyingine sio kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.