Vyuo Vikuu vijifunze kutoka Chuo Kikuu Ardhi (ARU) katika ubunifu

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
6,764
2,000
Hayo yamesemwa na mkuu wa nchi Rais John Pombe Magufuli mbele ya wahitimu huko UDOM.

Pia kadiri ya TCU ndio chuo kikuu kinachapota waombaji wengi baada ya UDSM nchini ingawa ni kidogo kieneo.

Ila kozi za Ardhi University ni nzuri kwa maana unaweza jiajiri pia mfano Architecture, Interior design, Land survey, lmv nk.

Hongereni wana UCLAS na ARU.

IMG-20191121-WA0007.jpeg
View attachment VID-20191121-WA0011.mp4
 

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
6,764
2,000
@moderators edit hapo na kusema vyuo vikuu vijifunze kutoka chuo kikuu Ardhi
 
Top Bottom