Recent content by Omwami Nshomile

  1. O

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Wilaya ya Misenyi ni miongoni mwa wilaya mbovu hapa Tanzania ukianzia miundombinu mpaka maisha ya kawaida. Awali ilikua wilaya ya Bukoba vijijini baadae wakaigawa. Pole sana kwa kupata ajira sehemu kama misenyi. Utakula gonja mpaka useme no. Sukari inauzwa 500 cuz mko nearby na Kagera Sugar...
  2. O

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Kifupi, ni wilaya magumashi na mpaka sasa haina umeme wilaya nzima. Maisha ya shida but yako chini.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: Nitaenda TAMISEMI kupata maelezo ya kina

    On ma way to Dodoma.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaweza kujiajiri

    Mkuu hapa sio facebook. Hapa ni JF where we dare to talk openly. Leta ushahidi tuamini habari yako.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: Nitaenda TAMISEMI kupata maelezo ya kina

    we ndo una mchecheto. Sisi tumesoma tuajiriwe Period
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: Nitaenda TAMISEMI kupata maelezo ya kina

    Thanks na ntaleta mlejesho.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: Nitaenda TAMISEMI kupata maelezo ya kina

    Habari walimu wenzangu? Me ni miongoni mwa waaanga wa janga hili la ajira za mwaka huu. Kutokana na sintofahamu inayojitokeza, kesho asubuhi nitaenda kupata maelezo ya kina katika Jengo la TAMISEMI Dodoma. Ninaishi manyoni, hivyo nategemea kufika saa 4 nitakua nimefika. Naomba kuungwa mkono na...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu tangazo la ajira za walimu

    Mimi kesho saa mbili nitakua Dodoma kwenye ofisi za TAMISEMI. Naomba mniunge mkono.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje nije kuwa mkuu wa kituo nitakacho pangiwa

    Sijaona tusi linalokufaaa we mazakanywafanta unayeendekeza ukabila.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wenye dhamana waache utapeli ajira mpya

    Me niko free! Najua kila kitu kina mwisho wake. Nimeweka sauti juu nasikiliza gospel
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mwita Magesa hakuwa Mwanachadema halisi, ACT-Wazalendo tafuteni hoja, acheni propaganda za kitoto

    Kaandika maandishi mkuu. Upungufu wa akili una-affect mpaka macho kwani?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kutengeneza dawati

    Mbao za mninga zimekatazwa na maafsi misitu. Ukikamatwa na dawati lilitengenezwa kwa mbao za mninga utafungwa tu.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Majambazi yakamatwa baada ya kumpora mzungu

    Boss wao yuko Magogo ni anacheka. Yule ndo jambazi mkuu.
Back
Top Bottom