With #HapaKaziTu in full swing, can I paraphrase Muhammad Ali: "Who would have thought, when they came to see the changes, that they would witness the launching, of myriad Tanzanian "satellites".
Ni wazo zuri, cha muhimu ni kuongeza uwazi ili matokeo yaaminiwe zaidi. Itainua heshima ya NEC, Serikali na Taifa kwa jumla ikiwa wahusika watachukua hatua zitakazosaidia kufanikisha hilo ili nchi ipige hatua na kupanda chati ya viwango vya demokrasia. Tufike mahali NEC iruhusu wananchi au...
Hapo ni wazi kabisa, Mmiliki wa hiyo ndege, Mamlaka ya Anga ya Kenya, Mamlaka ya Anga ya Tanzania, aliyeikodisha, wote wana kesi ya kujibu ya kuua bila kukusudia pia liability for civil damages. Wafiwa wasisite kwenda mahakamani, Sheria ichukue mkondo wake.
Kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa 2015 ni fursa muafaka kutafakari mustakbala wa nchi yetu katika nyanja mbalimbali. Nami nawasilisha Jukwani vipaumbele nionavyo vinafaa kujadiliwa/kutekelezwa katika nyanja za siasa/utawala bora kwa maslahi mapana ya Taifa letu:
1. Vyombo vya Habari vipewe...
Nakubaliana na hoja hii! Kama jambo hilo ni kweli, itakuwa ni usaliti mkubwa kwa hao Waheshimiwa kujichotea mahela hayo yote na wakati huo huo ati 'wanatetea' wananchi wanyonge, na kujadili mambo ya 'maendeleo' ya nchi. Demokrasi yetu itabaki ni kama kutwanga maji kwenye kinu ikiwa wale...
Nikinukulu maudhui ya makala moja maarufu ya Gazeti la The Sun la huko Uingereza miaka kadhaa iliyopita, nashauri kwamba ikiwa Mswada huu utapitishwa na kuwa sheria kama ulivyo, basi mtu wa mwisho kutoa maoni kwenye Jamii Forums akumbuke kufuta data na posts zote kabla mtandao huu mahiri...
Umesema vema ndugu. Hili ni suala gumu linalohitaji kuweka mbele maslahi ya Taifa na mustakbala wake kama nchi ya amani na utulivu, siyo dhamira za vyama vya siasa. Unahitajika muda wa kutosha wa kutulia na kutafakari namna ya kujinasua na mtego tuliojitega wenyewe. Kila upande uwe tayari...
Umesema vema ndugu. Hili ni suala gumu linalohitaji kuweka mbele maslahi ya Taifa na mustakbala wake kama nchi ya amani na utulivu, siyo dhamira za vyama vya siasa. Unahitajika muda wa kutosha wa kutulia na kutafakari namna ya kujinasua na mtego tuliojitega wenyewe. Kila upande awe tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.