Recent content by Omutontozi

  1. O

    Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

    WENGI WANAPENDA KUWA MBELE MADHABAUNI ILA HAWANA MOTO WA IMANI WAKO PALE KUONEKANA MBELE ZA WATU TU!!! Ila walioitwa na Mungu hawakengeuki,,,moyo wa mtu kichaka
  2. O

    Hivi ile mitambo ya Hospitali ya Muhimbili ya kujifukiza bado ipo?

    Kwhy ulitaka yeye kama rais afanyaje zaidi ya kutumia njia za kisayansi !!!?
  3. O

    Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    Ahahaaaaa mnawadhalilisha binadamu wenzenu hao mjue
  4. O

    Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

    SUKUMA GANG walidhani chizi pole pole anaenda kusimikwa na jeshi kuwa kiongozi was mpito,,,,, Wamepigwa za Chembeeeeee!!!
  5. O

    Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

    We ni mbuzi unajua vikwazo utakavyowekewa vitkufanya ununue mche wa sabuni sh 5000/ ? Mnaongea tu,ukiona jeshi linachujua nchi ujue uchumi utadondoka vibaya sana maana hawana wanachojua zaidi ya amri
  6. O

    Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

    Hakuna kitu kama hicho labda bifu za chini chini tu!!
  7. O

    Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    😀😁😀😀 hivi hizi picha za wanaccm malofa mnazitoaga wapi!!
  8. O

    Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

    Utakuwa sukuma gang unasali Samia apinduliwe utasubiri sana
  9. O

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Hivi kwa mfano ukiona mtoto anabakwa ila wazazi wakashirikiana na mbakaji kuficha,,huwezi kufungua kesi na jamhuri ikaisimamia!!? Nimeuliza hivi sababu kuna watu wanasema ili makonda ashitakiwe lazima wahusika clouds au jamhuri wafungue kesi, Najiuliza kwani Kubenea hawezi kufungua kesi kwa...
  10. O

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Hivi kwa mfano ukiona mtoto anabakwa ila wazazi wakaficha kwa kushirikiana na mbakaji, huwezi kufungua kesi jamhuri ikaisimamia!!?
  11. O

    Alipo Rais, ipo KUU (Kamati ya Ulinzi na Usalama)...

    Fafanua kwa manufaa ya wengi
  12. O

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    Utu wake umetweza jambo jema kabisa kwa sababu alijisahau wakadhaninwanawafokea watoto yeye na jiwe,,, ila pesa atakuwa nayo labda kama alikuwa anahonga,,wangemfukuza na ubunge kbx akale chaki pale Jalalani Udsm
  13. O

    Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

    Kwa akili unadhani watu Bk wanaona fahari kuwa wtz kuliko ambavyo wangekuwa Waganda japo tungekuwa chini ya full diktete Museveni
  14. O

    Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

    Tutadai mamlaka kamili sasa ili tujenge jamhuri yetu usilete ujinga hapa,,,acha kuchochea ujinga tuna hasira ujue
Back
Top Bottom