miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
Inatokeaga , ndio mana Yesu alizungumza kuhusu mbegu za mwibani
mimi mwenyewe niliasi kanisani Almost miaka 15 katika hio 15 nimeenda kanisani hata mara 10 haifiki na kulikua na sababu maalum niliasi mpaka nikawa na Phobia ya kwenda kanisani, na hii phobia wanayo wengi sana... kuna watu unakuta wanawish waende ila akijiangalia anasema ntaanzia wapi kuingia.
Yani watu tuliasi tangu enzi ya "bwana awe pia nawe", tunekuja kurudi " Awe rohoni mwako"
miezi mi2 ya mwanzo nilipata shida sana kutoka kwa wanaonijua unaingia church watu wanakuangalia utasema uliwaambia ntakuja na shetani
Ila mwisho wa siku tumerudi na maisha yanasonga. Kwahiyo tuwaombee ipo siku tu.
Sent from
Dah. Kumbe wahanga wengi hivi.
Niliingia ibada siku, nimasikia bwana awe nanyi nikajibu kwanguvu awe piaaaaa naaaaaaweee acheni hiyo aibuuuuu
Sema nalipenda mno kanisa langu. Hata uniue sihami nalipenda kindakindaki. Tatizo ni kuamka kwenda ibadani tu. Kipindi nasoma IFM nilikia nataka nikaombe niwe nafanya kudeki pale groto kwa mapemzi yote sijui niliumwaa hata sikuweza timiza.
Nikilihama sasa kuna maana gani tena ya kilisimasi jamani.. ehh
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app