Recent content by Omusolopogasi

  1. Omusolopogasi

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Halafu utasikia eti yameshinda kwa kishindo!! Ushetani mtupu...
  2. Omusolopogasi

    Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    Kuna tofauti gani na wimbo ule wa "uchumi wa gesi" waliotuimbisha Kikwete na Prof S Muhongo miaka karibia 10 sasa imepita? CCM wanacheza na akili zenu.
  3. Omusolopogasi

    Waziri Mkuu hajasema kweli kuhusu suala la Ngorongoro

    Tikisa huo ubongo wako labda utaelewa unachokisema.
  4. Omusolopogasi

    Waziri Mkuu hajasema kweli kuhusu suala la Ngorongoro

    Maslahi ya Taifa gani - la Waarabu ama Wamasai?
  5. Omusolopogasi

    CCM wanafikiri kura walizopata 2020 ni mali ya kudumu

    Okay, Shetani. ulishinda uchafuzi. Mungu kaamua ugomvi. Kwa nini tuendelee kuzozana?
  6. Omusolopogasi

    CCM wanafikiri kura walizopata 2020 ni mali ya kudumu

    Mungu ni mkubwa sana. Maajenti wa sheatani wanajifanya eti hawajui kilichotokea 28 Oktoba 2020. Eti wanaita uchaguzi...
  7. Omusolopogasi

    Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

    Pole sana. Kuna wazazi wa aina hiyo. Umesoma, tumia elimu yako ikiwemo pamoja na ku-ignore masimango huku ukiendelea kutafuta. Tatizo ni umasikini. Wazazi kufikiri kuwa watoto wataondoa kutoka umaskini wao. Na mimi lilipitia huko.
  8. Omusolopogasi

    Watu wahoji kwa nini CHADEMA imeanza kupunguza kasi ya kudai Katiba Mpya

    Ndugu yangu, Erythrocyte (aka RBC). Nimesikiliza kwa makini clip. Mzungumzaji anaongea kitu ambacho nilihisi kabla ya kusikiliza hii clip. Nashangaa kweli CHADEMA mara hii wamekwishaisahau CCM? Mbowe kweli ameaminishwa kuwa katiba mpya itakuja hivi hivi tu?
  9. Omusolopogasi

    Kumbe korodani moja haizuii mwanaume kupata watoto. Nimeingia kwenye kulea watoto nje ya ndoa kwa kutojua

    Hiyo ya ndani, nenda hospitali waitoe. Huwa ina tabia ya kuwa saratani ikiachwa muda mrefu.
  10. Omusolopogasi

    Kumbe korodani moja haizuii mwanaume kupata watoto. Nimeingia kwenye kulea watoto nje ya ndoa kwa kutojua

    Utafiti wako ulikuwa wa kijinga. Umekufanya uwe na watoto 3 wa mama tofauti. Testis iko kama figo. Ukiwa nayo moja ni sawa tu, kama inafanya kazi vizuri. Tena ikibaki moja, huongeza ufanisi kwa kuongezeka saizi yake na function. Siku nyingine uliza wataalam. Acha kutafiti mambo ambayo yana...
Back
Top Bottom