Nchi yoyote ile ili iwe na uchumi imara inatakiwa kuwa na miundombinu ya uhakika kwa ajili ya usafirishaji, usambazaji wa bidhaa kutoka eneo moja kwenda jingine.
1: Katika Tanzania tuitakayo tunataka kuona kwamba kuna miundombinu imara hususan barabara, Leo nataka kuongelea miundombinu ya...
Kutoka Kata ya Rungwe Mpya Kasulu Kigoma.
Hivi karibuni kumezuka watu wanaojiita kamchape katika Mkoa wa Kigoma na viunga vyake, watu hawa wanadanganya wananchi kwa kutumia mazingaombwe kwamba wanatoa uchawi kitu ambacho si sahihi, mbali na jamii ya watu wa Kigoma kuamini hayo mambo, kikundi...
Halmashauri ya wilaya ya Rorya ni halmashauri zilizoanzishwa miaka kadha huko nyuma, mbali na kwamba halmashauri hii imeshachukua muda mrefu tangu kuanzishwa kwake lakini kuna huduma zingine zimekuwa ni changamoto, mfano wa huduma hizo ni suala la maji, na ubovu wa miundombinu ya barabara, licha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.