Majambazi sio wajinga kama watu wanavyodhani.
Kwamba walikuwepo tu wanawasubili pilisi waje kupambana?
Ni jambo ambalo haliwezekani hata maramoja.
Kwanza inawezwkana kikosi cha operation kiliwaacha wahusika wa uhalifu huko dar
Na wanao gongwa ni wengine kabisaaa
Roma anaweza kutekwa na yoyote iwe serikali,mtu binafsi ama kundi la kiharamia navhata chama cha siasa, na serikali inapashwa ku react immediately ili kuonyesha uwajibikaji kwa watu wake.
Sasa unataka kutuamisha kwamba serikali haiwezi ku react ikiwa roma amekamatwa na Chadema?
Huo ni upuuzi...
Kiukweli kupeleka watu wawili kwa visingizio vya ccm kuwachagalia wawakilishi sio sahihi
Ina maana chadema masha ma wenje ndo watu mahili pekee yake?
Kwamaana kwamba kama wangeleka watu zaidi yao na wakachaguliwa wengine tofauti na masha na wenje wasingeze kufanya vizuri?
Huo ndi ukweli wenyewe %199
Ni ngumu sana kudumia watu ama kufantanao kazi bila kujua asili yake
Ndo maana hata wafanya biashara wskiamua kukwepa kodi huchukua muda sana kugundua njia wanayotumia kukwepa.
Kama rais wa america anachorwa na vyombo vya nje Ya humo sembuse jamaa yule?
Ninyi mbona mnawasemaga akina m7ni sana bwana Robert kwani wao sio mapresidaa?
Acheni lawama za kipuuzi
Wakati anaomba hakujua kama kuna kejeli?
Hata hivyo ninyi ndo mnahamgaika yeye ashasema hatishwi na habari za...
Hivi sikuwahi kujua, kwamba kwanini makonda alikuwa anashikiza ile taarifa uruke hewani?
Kwamba yeye ndo alipeleka hiyo stori?
Na clouds hawajatuambia chanzo chao cha kupata hiyo habari alikuwa makonda? Mpaka adai kwa nguvu hicho kipindi kiruke hewani?
Pamoja na yote hayo yote clounds...
Huyu huyu palamagamba nikimkumbuka jinsi alivyo toa mapovu wakati akitetea rasim ya katiba ya warioba na baadae kuwa baridi kama maji ya mtungi!! Onashangaza sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.