Watoto wadogo tu ndo huwa wanajiuliza kuhusu Mungu ila watu wazima wengi tayari wanajua uwepo wake , la muhimu zaid em jifunze kumjua Mungu na Mungu sio babaako anajibu kwa muda anao taka yeye ukitaka ishara hizo za fasta fasta huwez kuziona .
Uumbaji wa viumbe hai na universe hii inatosha...
Tuendelee kutumia mihemko kwa kudhani Marekani ni kitu kidogo sana ambacho Iran anakichezea anavyo weza.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema moja ya changamoto ambazo nchi yake inakabili ni kuzuiwa kwa fedha za Iran zilizopo nchini China, akieleza kuwa Tehran inashindwa hata kutoa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.