Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapo
Ulevi
Uzinzi
Ushirikina
Wizi
Chuki
Vyote vinakuandama ila ukiwa mtu wa ibada angalau utapunguza mzigo kidogo
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipi
Kwa upande wangu sijawahi hata kufikiria kumsaliti ana kila kitu nnachohitaji upendo kujali heshima kwa kila mtu si mlevi inshot ana %99 ]ya vigezo vyangu halafu hata hiyo moja sijui nimemnyima ya nini na kwa upande wake sijawhi hata kuhisi anajitahidi kuweka mazingira ya kuaminika nipo huru...
Hajakulia usukumani amelelewa na mama kaskazini achana na kupiga hata kufoka hawezi kwa hiyo huwa sitamani hata kumkwaza
Uongo dhambi sina ex sababu alinianza nikiwa kidato cha pili akanioa baada tu ya matokeo ya kidato cha 4 niliolewa mapema
]
Mtoa mada kama tuna fanana vile
hayo ndo maisha yetu na mme wangu mpaka leo july 27 tunatimiza mwaka wa nane sijaweza kula kabla hajafika nyumbani atanitaarifu nile kama atachelewa ila najikuta tu namsubiri tunaishi maisha ya kawaida ila tunajionaga matajiri sababu ya amani iliyopo ndani kwetu...
Waah sisi wala hatujawahi kuwa serious na maisha tunaishi kama washkaji tunananiana vyovyote pengene labda sababu hatupishani kiumri watoto mpk muda mwingine wanetu wanatuita kwa majina yetu sorry kama umeipa uzito ila sisi hua utani mwingi inategemea tu na ulipoutelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.