Kiongozi ni kama mwendesha farasi, akiwa bora atamwendesha farasi katika mwelekeo maalumu lakini akiwa hajui kumweka sawa farasi atayumbishwa, ni lazima ajue kumshika vizuri farasi na kumwelekeza sehemu ya kwenda. Kiongozi mbovu husababisha farasi kukosa mwelekeo.
Wananchi wanapokosa viongozi...