Recent content by Omega2010

  1. O

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

    Lizabon Habari ndiyo hiyo siyo swala la wivu ni utaratibu na vigezo na masharti wanaotakiwa ni 450 tu. na si kwamba wanaozidi wote ndiyo guarantee ya kuwapata wapiga kura la hasha
  2. O

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

    Wapendwa wanaJamvi, Natumaini chama cha CCM, kitazingatia idadi ya wadhaminiiliyowekwa kwa kila mkoa kwamba ni wadhamini 30 tu na kwa mikoa 15 inafanya wadhamini kuwa 450. Maana naona Wanaowania Kuingia Ikulu, wanajifurahisha na kujiridhisha na kututangazia idadi kubwa ya wadhamini waliowapata...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    tunapima jeshi letu kwa kulinganisha na nchi gani jamani, wenzetu hawaonyeshi zana zaonza kijeshi kiasi hiki huu c ulimbukeni, wanajeshinwetu wenyewe wanavitambi
  4. O

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CCM "Serikali tatu ni kuvunja muungano" zathibitika.

    uongo wa kutunga ni mzuri kuliko uongo wa kutungiwa naona balozi huyo kasimama kama kashtushwa na kubutwaa na mananihii yanatoka kwa nyuma hahaha
  5. O

    JamiiForums Tanzania Gari la Serikali (linalotumiwa na Sumaye) labambwa na Meno ya Tembo!

    dih kazi ipo inchi hii inajengwa na wenye moyo na inaliwa na wenye meno
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    NI WALEWALE MLIOTUMWA YAANI WEWE UMEJIUNGA JAMII FORUMS TAREHE 15-11-2013 NA LEO UJE NA HOJA KAMA HIZI SI MTU WA KUTUMWA WEWE????? HAHAHAHA KAZI MNAYO VIBARAKA WA MAGAMBA NIMEONA MNABADILISHA SANA ID ZENU KUNA MTU AMEJIUNGA TAREHE N15-11-2013 LAKINI ANAHOJA LUKUZI ZA KUTAKA KUICHAFUA CHADEMA...
  7. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya Mjini yamzuia kiongozi wa mkoa kujihusisha na CHADEMA na kugombea cheo chochote

    YAANI WEWE UMEJIUNGA JAMII FORUMS TAREHE 15-11-2013 NA LEO UJE NA HOJA KAMA HIZI SI MTU WA KUTUMWA WEWE????? HAHAHAHA KAZI MNAYO VIBARAKA WA MAGAMBA NIMEONA MNABADILISHA SANA ID ZENU KUNA MTU AMEJIUNGA TAREHE N15-11-2013 LAKINI ANAHOJA LUKUZI ZA KUTAKA KUICHAFUA CHADEMA MUANGALIENI WAJAMENI...
  8. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Rest in peace Dr mvungi
  9. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Very sad news rest in peace Dr mvungi
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kesho Iringa: Lema, Sugu, Lissu, Kiwia, Wenje Msigwa na Dr. Slaa kuhutubia

    kamanda police mkoa ameruhusu?
  11. O

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    ndungai hajui maana ya ---- you
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    dah mechi kali ila mwisho wa siku tutaona nani zaidi
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mpambanaji Tundu Lisu Kuwasha Moto live Songea Bombambili

    Big up mkuu tunasubiri ripoti yako utujuze m4c kusini lazima kuwasha moto
  14. O

    JamiiForums Tanzania Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Mwambie apunguze mawazo ni kweli unapokuwa kwenye stres za kifamilia sex performance. Na kama ana chuki na mke wake aache atafute upendo na kumpenda mkwewe. pia afanye mazoezi ya kutosha na kula vyakula vyenye vitamin e vinavyoongeza sperms production kamj vile karanga, korosho, atumie pia asali...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Wanalala chini japo wamo ndani ya vigorofa. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hahahaha
Back
Top Bottom