Recent content by Omaryjr1

  1. Omaryjr1

    Kuhusu cheti Rita

    Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
  2. Omaryjr1

    Love bite sehemu ya kwanza

    LOVE BITE ♥️🔥 SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe. Wengi ambao walikua wanapenda taarab basi walijazana travertine hotel kuwaangalia jahazi. Kwa wengine wanaopenda bongo...
  3. Omaryjr1

    Simulizi ya kusisimua: Nani amenipa mimba?

    (11-15) [emoji3590][emoji91] NANI AMENIPA MIMBA? ( SEHEMU YA 11 ) Baada ya kuona chini kupo tayari aliuchomoa ulimi kisha aliupandisha kuanzia kwenye kitovu, tumboni hadi kwenye chuchu ya upande wa kushoto; aliitafuna chuchu yangu kwa kutumia ulimi, mkono wake mwingine ulichezea chuchu yangu ya...
  4. Omaryjr1

    Simulizi ya kusisimua: Nani amenipa mimba?

    Simulizi ya kusisimua: Nani Amenipa Mimba? Whatsapp: 0629980412 Facebook: King Author ( SEHEMU YA 04 ) Pia mimi na Jeni ni waimba kwaya, jioni tulielekea kanisani kujifunza nyimbo ambazo tulitakiwa kuziimba jumapili; mchungaji wetu ndiye alikuwa anatufundisha kwaya, siku hiyo alichangamka...
  5. Omaryjr1

    Simulizi ya kusisimua: Nani amenipa mimba?

    Whatsapp no. 0629980412 Email: ommyboytz30@gmail.com ( SEHEMU YA 01 ) [emoji24][emoji3064][emoji174][emoji91] Kwa majina naitwa Witness Kijeba, ni mtoto pekee wa mzee Kijeba na bi Kijeba. Mimi ni mwanachuo wa Diploma mwaka wa pili, umri wangu ni miaka 21 na kimuonekano mimi ni mrefu wastani...
  6. Omaryjr1

    Utafiti: Tanzania yaorodheshwa miongoni mwa nchi uchumi utakua kwa kasi zaidi duniani

    Tanzania imeorodheshwa kuwa miongoni mwa mataifa ambayo uchumi wake utakua kwa kasi zaidi kufikia mwaka 2026. Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo cha Chuo Kikuu cha Havard cha Marekani kinakadiria kwamba uchumi wa Tanzania utakuwa unakua kwa asilimia 6.15 wakati huo. Tanzania itakuwa ya nne kwa...
  7. Omaryjr1

    Uzi maalumu: Pata trick zote za dream league soccer 2018

    Naomba msaada game la dream league soccer kila mechi ikianza linaji cancel nin tatzo
  8. Omaryjr1

    Ushauri kuhusu kufungua local company itayojihusisha na ads network

    ni ideas nzuri naomba ningependa kujoin na ww tupige kazi
  9. Omaryjr1

    msaada

    nataka kuanzisha e-commerce website je ni vitu gani vya kuzingatia
  10. Omaryjr1

    Jifunze jinsi ya ‘kufollow’ watu wote ‘ulio unfollow’ kwa pamoja katika Facebook

    Katika makala hii tutaona jinsi ya kufollow (kufuata) watu, kurasa au makundi uliyounfollow kwa pamoja bila ya kutembelea kurasa ya kundi moja moja na kuanza kulifuata. Kuna muda hupendi ukurasa wako wa facebook kujaa habari, taarifa na picha zisizo na maana. Unaamua kufuta watu au kurasa zote...
  11. Omaryjr1

    Uzi maalum kwa waliokwisha soma na wanaotarajia kusoma Open University Tanzania

    kwa wale waliofanya application chuo cha open tarehe rasmi ya kuanz masomo ni lin maan me niliambwa nisubr ratiba
  12. Omaryjr1

    Tunatengeneza na kurepair blogs kwa bei poa

    Kwa wale wanaohitaji blogs au wanazo na wanahitaji kurekebishiwa zionekana za kibiashara ni kwa mtonyo wa 10000 tu nichek PM au nitumie text through my no. 0752292473 Blogs bora hukufanya umake money kiurahisi sana
  13. Omaryjr1

    Unlock vfd 300 vodafone smartmin

    Nazan kichwa cha habari kinajielza naomben msaad ni unlock simu yangu itumie laini zote
  14. Omaryjr1

    Jinsi ya kutengeneza bootable flash bila kutumia software yoyote

    JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE FLASH BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE* mwanakwetu habari. Leo nimeona nishare nawe somo hili dogo but naamini litakuwa na nanufaa makubwa kwako na kwa wengine, baada ya hili somo usisahau kushare na wengine. Kabla ya kuanza somo hili niseme mambo mawili. 1. Kama...
  15. Omaryjr1

    Msaada kuhsu game la dream league

    Jaman naomben mnisaidie nimedownload dream league kuptia google na obb zake lakn linagoma kuplay nin tatzo hapo
Back
Top Bottom