Recent content by Omary scotten

  1. Omary scotten

    Biashara na faida ya Bajaji ya mkataba

    Habari,kwa boss anayehitaji kufanya biashara ya Bajaji iwe mkataba au hesabu kwa siku nipo tayari mimi ni dereva gari na Bajaji mtandaoni nina uzoefu wa miaka 2 katika hii kazi.Uwaminifu 💯%. 0654037276
  2. Omary scotten

    Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Bado sijapata ndugu zangu
  3. Omary scotten

    Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  4. Omary scotten

    Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Kufungiwa mfumo wa gas ni 1.3-1m.lakini pia unaweza kufungiwa mfumo wa gas kwa mkopo Tena bila kianzio. Ndio ni aina ktk Toyota mfano Ist nk.
  5. Omary scotten

    Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Zote znapga kazi vizuri ila ya gasi ni mzuri zaidi kwa biashara
  6. Omary scotten

    Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Habari, Naitwa omary kassim naishi Dar, Buza ni dereva wa mtandaoni naendesha gari na Bajaji pia kwa sasa sina kazi.Kama kuna boss atahitaji tufanye kazi tuwasiliane 0654037276.Uwaminifu 100%
  7. Omary scotten

    Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Ndio inafaa na kama utahitaji dereva nipo nina uzoefu wa miaka 2.Kama upo tayari tufanye kazi boss 0654037276
  8. Omary scotten

    Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Habari!! Naitwa omary kassim naishi Dar,Buza. Ni dereva wa mtandaoni.Gari ya mafuta hesabu kwa wiki ni 150000 na gari ya gesi hesabu ni 200000.Nina uzoefu na hii kazi miaka 2 kama upo tayari tufanye kazi boss 0654037276.
Back
Top Bottom