Recent content by Omary Sameer

  1. Omary Sameer

    TUWE NA RUAHA AMA UDZUNGWA HEROES

    hahahaaaaa!
  2. Omary Sameer

    TUWE NA RUAHA AMA UDZUNGWA HEROES

    Taifa letu pendwa limekuwa na timu kadhaa za taifa katika michezo mbalimbali miongoni mwao ni za soka, mpira wa kikapu ,riadha, kuongelea na kadhalika.Mara nyingi timu za soka zimekuwa zikipewa majina mbalimbali, kuanzia ile timu ya wakubwa ya wanaume Taifa stars, Twiga ya wanawake, kuna...
  3. Omary Sameer

    Nashauri kama jamii tumpe tuzo Rebecca Mulesi ama hata kumfungulia mfuko ambao utahusisha kuwasaidia watu wenye uhitaji

    Ni muda mrefu tangu niameanza kusikiliza kipindi cha Ushauri wako cha Redio Free Africa ambacho maudhui yake ni kama vipindi vingine vingi ambavyo lengo lake ni kuwasaidia watu wenye matatizo na uhitaji wa hali na mali. Lakini licha ya kusikiliza pia hivyo vipindi vingine, kuna kitu cha...
  4. Omary Sameer

    ''Nipe Macho Nione''

    Nipe macho nione kionavyo na wengine ambacho najitahidi kukiona, Nione mafanikio ya awamu hii tuliopo, awamu ya #hapakazi tuu , awamu ya serikali ya viwanda na ndoto ya uchumi wa kati kufikia 2020. Macho yangu hayaoni wala akili yangu haitafsiri sawa vile ninavyoambiwa ni mafan ikio ya awamu...
  5. Omary Sameer

    Anko sam amerudi R.F.A?

    mbona kama namsikia TBC FM sijui nini kimeisibu Sahara media
  6. Omary Sameer

    CHADEMA sasa ni wakati wa kuchukua wilaya za Ludewa,Njombe na Makete tangu CCM itawale hakuna maendeleo

    Jimbo la Ludewa ni jimbo ambalo nadhani watawala wenyewe wamelifanya lisiwe na maendeleo kwani vilivyopo katika wilaya ile kama wangekuwa na mipango ya muda mrefu taifa lingekuwa mbali sana kiuchumi leo hii Huyu Bwana anahangaika na umeme katika mto Rufiji ambao kwa hali halisi ya mazingira...
Back
Top Bottom