Tuachane na masuala ya bikra mi naondoka na haya maneno
"Uwezekano wa mwanamke kudumu kwenye mahusiano unaathiriwa na idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nao '"
Tatizo linaweza lisiwe tatizo ila kulifanya tatizo lisionekana linaweza kuwa zaidi ya tatizo
Mwaga mchele kwenu ...waambie kila kitu
Huondoe mzigo wakutaka kulisolve tatizo peke yako
Mtoto kufurahi ni kawaida
Maana hata akiwa macho anafurahi hata bila sababu
Kwenye akili ya mtoto mara nyingi hukaa kumbukumbu nzuri kuliko mbaya , hivyo huwa anakumbuka hizo kumbukumbu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.