Recent content by Omary Mahayu

  1. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Ipo unlimited Halotel kaka. Na watu tunatumia
  2. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

    Ni bure kabisa. Aulipii kusajiliwa
  3. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Jambo la kwanza laini zinakuwa na 4G au 5G ivo kinachokuwa na MBPS ni kifaa unachotumia na Mode uliyoweka. Pia hii ni laini ila inakuwa ni kwaajili ya internet ivo aina SmS wala Calls. Unaweza kutumia kwenye router, pocket wi-fi au simu pamoja na vifaa vingine Imeongezwa speed ivo ina higher...
  4. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Rasmi kabisa. Unakuwa na laini iyo ya M2M then unajiunga mwenyewe. Ni rasmi kabisa
  5. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Jiunge Halotel M2M, imeboreshwa zaidi maana ime specialise kwenye internet tu. Speed inakuwa bora zaidi.
  6. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Unatumia Normal simCard ambayo ina 100%, tafuta Laini ya M2M ina 0% data depression, so kama una GB1 unaweza download kitu cha GB1 mpaka kika complete.
  7. Omary Mahayu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    😀😀😀😀. Kwani si muachane tu
  8. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Kwa M2M zimeongezwa speed na ndomana azipigi simu wala kutuma SMS, na namba zake zipo tofauti... ivo zinakasi ya kutosha
  9. Omary Mahayu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Auwezi kununua kama hauna M2M au Specila Corporate Sim Card.
Back
Top Bottom