K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 4,188
- 13,521
Vigezo vya kujiunga na huduma hii vikoje?Amia halotel utaenjoy sana kaka. Yaani unakuwa unanunua mwenyewe tu kutokana na matumizi yako alafu bando lake linakaa sana.

Ni bure kabisa. Aulipii kusajiliwaGharama za awali za huduma hiyo kwa ajili ya kujiunga zikoje?