Uislam umspiga marufuku kuhusu uganga, ukuhan, upigaji wa Ramli,,
Hizo zote ni kazi za SHETAN,,
👆👆👆👆👆👆
TAMBUI MUISLAM AKIENDA KWA MGANGA HAKUBALIWI SWALA ZAKE SIKU 40 NA LAZIMA AFANYE IBADA NA AKIFA ATAKUWA MWENYE HASARA,,
KUNA RIWAYA ZINGINE MUISLAM AKIENDA KWA MPIGA RAMLI ANAKUWA...
MM nilishawa fanyiwa Hivi ila kikubwa jenga urafiki na mumewe siku nyingine toa pesa, istoshe tusiwe na dhana mbaya kuna mambo mengine Ni Ihsan, kisha naww muungwana
Kwani huyo mkeo hajawahi kufanya dhambi toka azaliwe?
,Ulimkuta bikra mpaka wewe asikuridhie kuteleza?
Muombe msamaha mola wako Kwa kuteleza kufanya uzinzi kwasababu wewe ni kiumbe dhaifu tu,,,,
Viumbe tumeumbwa kusameheana makosa lazima na siyo malaika sisi atakaa hivyo mpaka lini.?
Lea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.