Shamba lina ukubwa wa Hekari 2
Lina miti 1000+
Miti ina umri wa miaka
Shamba lipo Mwanza, Ukerewe
Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
Kwa maskitiko makubwa kabisa leo naandika hapa,baada ya Tanesco Morogoro kushindwa kupeleka surveyor katika nyumba ambayo fomu yake ilijazwa na kukabidhiwa tangu 29/06/2021.
Niliwa-dm last time mkasema mtafanyia kazi lakini mpaka Leo hakuna surveyor aliyepata.
Hata siku surveyor akipita maana...
Kwa maskitiko makubwa kabisa leo naandika hapa,baafa ya Tanesco Morogoro kushindwa kupeleka surveyor katika nyumba ambayo fomu yake ilijazwa na kukabidhiwa tangu 29/06/2021.
Niliwa-dm last time mkasema mtafanyia kazi lakini mpaka Leo hakuna surveyor aliyepata.
Hata siku surveyor akipita maana...
Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli?
Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement kutoka HESLB.
Na kwa wale waliomaliza deni la bodi,je Bodi waliendelea kukata pesa baada ya deni...
Habari,Leo mafundi wa Tanesco wamefanikiwa kuja na kutengeneza meter yetu lakini Imebakia clear tamper codes za kuweza kumalizia tatizo...wamesema tuwasiliane na makao makuu ili mtupatie codes za kuclear tameper....Naomba mtusaidie kwa hili jamani.Tumekaa bila umeme kwa muda mrefu luku number Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.