Sawa kaka mm jinga kwel nakubal ila swala c kutukanana swala n kuelmshana tu na jib la mjinga wala ucmtukane coz najua me na ww tutakua naakil moja
Halaf ww kama unaona hayakuhuc c uwache mbna unaakil ndog ndug yang mm cjataja m2 ila nmeomba tu xx cha kkfany untukane n nn acha kua mpunguf...
Jaman me natak nsomee udaktar nnje na wazaz wang hawana uwezo mkubwa na nmemalz mwak2018 nna divisio two ya 20 wakubwa kama kuna mwenye ushaur anipe plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman me nmemalz form four mwaka 2018 nmebalanc comb zot nna divsion two ya 20 nnatak niend chuo eti niend chuo gan kizur labda au kama kuna scholarship ya nnje yyt tafadhalin wakubwa nsaidien kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman me nnaswal nimemaliza form four mwaka jana 2018 nna division two ya 20 na nmebalanc comb zote natak niend chuo eti niende kipi ambacho bora sana pia au kuna ushaur wowote nnaeza kupata wakubwa tafadhalin nsaidien kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.