Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

ALLON Y ALLON

ALLON Y ALLON

Member
Jan 23, 2019
10
45
Kwa physics chemistry and mathematics for form one up to form six waniulize mimi
 
kidunula1

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
3,818
2,000
God created Man to control seen and unseen objects. Justify this statement. Swali la philosophy hilo wadau
 
mallik killume

mallik killume

Member
Dec 18, 2017
10
45
Naomba kuuliza NINI KINASABABISHA MAJI KUPWA NA KUJAA?na YAKIJAA yanatokea wapi?na yakipwa yanakwenda wapi?msaada PLZ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachosababisha ni Mambo mawili
1.mvutano baina ya dunia na mwez; hili hufahamik na wengi ipo hiv mwez huzunguk dunia ktk muhimili wake pale mwez unapokuwa mbali na dunia mvutano huwa mdogo na kusababisha maji kupwa na kinyume chake ni kweli
2.mvutano baina ya dunia na mwez; dunia huzunguk dunia kwenye pale unapokuwa kalib na mwez basi maji hujaa kwa kuwa mvutano huwa mkubwa na kinyume chake kweli

Angalizo
Mvutano baina ya mwez na dunia inamchango mdogo Sana kwenye Hilo ukilinganisha na mwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
2,765

Sasa YANAJAA YANATOKEA WAPI?na YANATOKA YANAKWENDA wapi?ndy HOJA yangu hyo...mbona mAJI YAKITOKA mahala Fulani ya DUNIA hatuoni MAFURIKO upande mwengine YANAPOJAA?na KWANN ni maji ya BAHARI TU ndy yanayojaa na kutoka?na siyo maji ya ziwa au mito?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALLON Y ALLON

ALLON Y ALLON

Member
Jan 23, 2019
10
45
ok listen
The ocean looks blue because red, orange and yellow (long wavelength light) are absorbed more strongly by water than is blue (short wavelength light). So when white light from the sun enters the ocean, it is mostly the blue that gets returned. Same reason the sky is blue.
In other words, the color of the ocean and the color of the sky are related but occur independently of each other: in both cases, the preferential absorption of long-wavelength (reddish) light gives rise to the blue. Note that this effect only works if the water is very pure; if the water is full of mud, algae or other impurities, the light scattered off these impurities will overwhelm the water's natural blueness.
do you get it?
 
ALLON Y ALLON

ALLON Y ALLON

Member
Jan 23, 2019
10
45
Yes than blue why it appears blue ? That is my point

K

Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,208
1,250

If this is what it is, then why water in the river looks white/colorless?
 
ALLON Y ALLON

ALLON Y ALLON

Member
Jan 23, 2019
10
45
If this is what it is, then why water in the river looks white/colorless?Sunlight, made up of a mixture of all colors, scatters when it passes between materials, each with a different refractive index, in this case water and air. The water in the river only meets the air at one surface, but the droplets in the air/water mixture contains millions of surfaces. This combination scatters the light more so it appears white overall, as do the tops of breaking waves at sea.
 
emmanuel ranga

emmanuel ranga

Senior Member
Aug 25, 2017
182
250
Jaman me nmemalz form four mwaka 2018 nmebalanc comb zot nna divsion two ya 20 nnatak niend chuo eti niend chuo gan kizur labda au kama kuna scholarship ya nnje yyt tafadhalin wakubwa nsaidien kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima useme kwanza we unataka kusomea nini, au unataka kuwa nani au unataka kufanya kazi gani hapo ndipo wadau wanaweza kujua waanzie wapi kukushauri lakini ukitaka tu uende chuo ila hujui ukasomee nini utapata kila aina ya majibu na utachanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaiah Sumaye

Isaiah Sumaye

Member
Nov 28, 2016
18
45
Jamani naombeni msaada nimejaza applications kupitia OTEAS sasa kuna sehemu nime upload document ambayo haihusiani na nyingine, nifanyeje ili nitoe, asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom