Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

mobana

Member
Nov 3, 2017
5
45
Nimefaulu division 2 ya 21.na first selection nilichagua chuo.je ikitokea nmepata nafasi kwenda chuo.na sihitaji kwenda.. now nataka kusoma A_
_leve PCM.but nilipenda sana niende kibaha.je kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kuhamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Muyagha

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
226
250
Walimu wa Physics, Chemistry and Mathematics naomba msaada.
Mwanangu anaesoma pre-form five amepewa list ya vitabu anunue lakini kwa upande uwezo mdogo hivyo nataka kununua kimoja katika kila somo. Niambieni kitabu kizuri katika kila somo.
PHYSICS:
1. Nelkon
2. Tom Duncan
3. Chandi
4. Roger Munchestel

CHEMISTRY:
1. Abort
2. Ramsdern
3. Chandi

MATHEMATICS:
1. Pure Maths 1&2
2. Core Maths
3. Chandi

Msaada tafadhali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

madenge bm

New Member
Oct 28, 2017
2
20
Walimu wa Physics, Chemistry and Mathematics naomba msaada.
Mwanangu anaesoma pre-form five amepewa list ya vitabu anunue lakini kwa upande uwezo mdogo hivyo nataka kununua kimoja katika kila somo. Niambieni kitabu kizuri katika kila somo.
PHYSICS:
1. Nelkon
2. Tom Duncan
3. Chandi
4. Roger Munchestel

CHEMISTRY:
1. Abort
2. Ramsdern
3. Chandi

MATHEMATICS:
1. Pure Maths 1&2
2. Core Maths
3. Chandi

Msaada tafadhali.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kw mathematics hkuna ktabu kilichokamilika kila ki2 kw syllabus ya Tanzania.. Kila kitabu kina mapungufu. Km una uwezo nunua chand na pure kw p1

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom