Recent content by Oman - Muscat.

  1. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Mwanamke KAMILI....!!

    Mimi naamini ni mwanamke kamili japo sijatimiza nusu ya hayo yote !
  2. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Waraka wa pongezi kwa Miss Judith

    Congratulations to couple !
  3. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Asante sana Kaka, hili nalifanyia kazi jioni hii. Ubarikiwe kakangu!
  4. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

  5. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Thanks kwa kunikumbusha! Si mume, ni mchumba!
  6. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Hahahaha! Thanks a lot, you made me smile.
  7. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

  8. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Kwanza hapakua na limit za kuonana ila baadae tukaamua tuonane Mara 1 kwa wiki mana tunaishi umbali wa kilometres 80. Nina wiki 2 sijamuona, nikapata matatizo ya kifamilia nilimuhitaji sana ndio sabab nilingangania kua nae.
  9. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Help!

    Omba indirect wakati wa maongezi.
  10. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Thanks a lot, nitalifanyia kazi nimeona hata mimi napata tabu kuona Emails zake pictures , pia kwenye BB.
  11. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Samahani kwa sikutambua gender yangu haiko, mimi ni mwanamke wa miaka 25 nimegombana nae akapata hasira kutaka tuachane, nimemuomba tumalize ugomvi kwa njia nyingine alikataa. Mimi ndio mkosaji kwakua nilingangania tuonane ile siku
  12. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako!

    Za asubuhi ndugu zangu! Naombeni mnishauri nini cha kufanya kupunguza maumivu ya kuachana na mpenzi wako wa muda mrefu. Nimeachana na shemeji yenu jana na hali yangu ki roho si nzuri kabisa hata moyo wangu umekua unauma sana kiasi nahisi nakosa nguvu. Thanks in advence.
  13. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Ujinga Ni........

    Imetulia hiyo!
  14. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania I would give him 100%

    hahahaha ! awesome .....
  15. Oman - Muscat.

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu wachaga

    Japo nimekulia sukuma, Shinyanga! mchaga namkubali kwa swala la kazi na ukarim.........
Back
Top Bottom