Recent content by Oluoch

  1. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Bado hajanilipa
  2. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Bado sijalipwa
  3. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Bado sijalipwa
  4. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Bado sijalipwa
  5. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Toka ameniblock imekuwa kimya.
  6. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Bado sijalipwa
  7. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Yericko Nyerere, Kaka kitendo cha kuniblock katika mtandao wa Twitter kama ushahidi wangu unavyoonesha ni ishara mbaya kwangu. Kanuni na sheria wakati wa ushiriki wangu zilikuwa ni mabandiko mengi yenye kibandiko #mswahili na kiswahili fasaha, vigezo nilivyotimiza hadi ukanitangaza mshindi...
  8. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Ushahidi wangu upo wazi, nilianza kumdai huko Twitter kupitia Direct Message (DM) lakini baada ya kuniblock sikuwa na njia nyingine zaidi ya JF. Pia madai yangu katu si porojo, nadai kwa ushahidi dhahiri kama inavyoonekana katika post yangu.
  9. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Nilianza kumdai muda mrefu tangu mwaka jana na si kwamba nimengoja kipindi hiki cha msimu wa sikukuu yeye mwenyewe shahidi. Nilianza kudai kupitia simu, ujumbe mfupi (sms) n.k bado alinizungusha.
  10. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Sawa sikufikiria kufika huku JF ila mwenendo wa Yericko kupitia ushahidi wangu unajieleza waziwazi. Ungekuwa ni wewe ndugu yangu Mandingo ungefanyaje? Pia inawezekana kwako laki 2 ni ndogo, ila kwangu ni kubwa mno.
  11. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Ndugu zangu nawasalimu nyote. Kwa mara ya kwanza naanzisha uzi huu dhidi ya mmoja wa wanachama waandamizi wa Jamii forums ndugu Yericko Nyerere. Bwana Yericko aliasisi shindano la #Mswahili katika mtandao wa twitter akikusudia kuhimiza matumizi bora ya lugha ya kiswahili kwa watumiaji wa...
  12. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

    Nyaraka zilizoandaliwa na Jukwaa la Wakristo kuhusu upuuzi wa BMK ni sahihi. Viongozi wa dini wana jukumu kubwa kuonesha ukweli unaotuweka huru. Huyo Sitta awaombe radhi viongozi wa dini. Hawezi kuwaita wapuuzi kwani kusema kwao ukweli ni wajibu wao kitaifa (kizalendo).
  13. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Tume ya mabadiliko ya katiba
  14. Oluoch

    JamiiForums Tanzania Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Yohana 8:32
  15. Oluoch

    JamiiForums Tanzania AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

    kila la heri Tanzania.
Back
Top Bottom