Recent content by Olivia pop

  1. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali pingamizi la Equity benki katika mikopo chechefu

    Maandishi meengi lakini yana maana
  2. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali pingamizi la Equity benki katika mikopo chechefu

    - Yakataa kupokea baadhi ya vielelezo vilivyotakiwa kujumuishwa nje ya utaratibu - Katika kesi baina yao na CRC inayotetewa na wakili Mwalongo - Ni mfululizo wa kesi za mikopo chechefu inayosikilizwa mbele ya jaji Prof. Ubena Agatho wa Mahakama Kuu SIKU chache baada ya Makakama ya Rufaa...
  3. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    points tupu
  4. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Anay Anayefanya vyema lazima apongezwe
  5. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Mbona umekuwa mbashiri sasa
  6. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Bado watakuja watokwa mapovu
  7. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yajivunia kuvuka lengo

    hongera yao kwa kweli. kwa data wanazomwaga sasa hivi. wanastahili pongezi
  8. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    nimeelewa sana sana sanaaaaaaa. mlikuwa wapi nyinyi kushare maarifa haya kwa wana nzengo mpaka wana nzengo wanalishwa matango pori daily?
  9. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Huyo ndio Mr DJ Mbowe, yeye kwake fedha tu na sio kitu kingine, na ndio maana alisema ni kichaa pekee anayeweza kumkataa fisadi Lowassa kujiunga na chama chao
  10. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    IPTL ndio wamiliki halali wa fedha za escrow na mahakama kuu ndio iliyotoa uamuzi huo wa IPTL/PAP kumilikishwa fedha za akaunti ya escrow.
  11. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Hujui unachochangia, shadow kajenga hoja kutumia kauli ya kafulila kuwa Singasinga hatakiwi kenya. Wewe peke yako ndio umekosa imani na serikali.
  12. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Nasubiri kwa hamu hiyo kesho, japokuwa kuna tetesi kuwa kuna pingamizi la mahakama, ila ripoti nyeupe. IPTL walistahili kulipwa fedha ya escrow.
  13. Olivia pop

    JamiiForums Tanzania Zitto na Filikunjombe wanatumiwa na Kenya na Uingereza kuvuruga na kudhoofisha Uwekezaji Tanzania

    Dah!! Zitto!! mbona naanza kukosa imani nae.
Back
Top Bottom