Habr wakuu polen na majukumu.samahn naomba msaada natafuta kazi yoyote halali isipokua bar tu nina miaka 23.elimu form4 napatikana dar naomben mnisaidie.mfn wakaz dukan. Mgahawan. M-pesa .usafi. kupika nk kwa atakae nihitaji ani pm asanteni
Ni msichana wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne naombeni msaada natafuta kaz yoyote halali Nina uzoefu kwenye maswala ya biashara na upishi pia naomben mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu na samahani kwa usumbufu najua wengine nitawakera lakini naomba mnisamehe naitwa Oliva ni msichana nina umri wa miaka 22 natafuta kazi yoyote halali naomba msaada wenu kwa hali na mali Kwan nipo katika kipindi kigumu Sana. Asanteni kwa ushirikiano na mungu awabariki Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.