kijana au binti wa kuuza duka la nguo(Men's botique) anahitajika

Nuran Jr

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
273
234
Vigezo

1. Awe mkazi wa Dsm (Tabata utapewa kipaumbele)
2. Umri miaka 20-26
3. Elimu atleast for four
4. Awe mwenye kujitegemea kimawazo
5. Location ya duka ni Tabata Bima
6. Mzoefu atapewa kipaumbele
7. Awe tayari kutuunganisha na wazazi wake na kuleta barua za viongozi wa eneo analotokea

NB: Mawasiliano utapewa pm ukishakidhi vigezo na tukifika makubaliano hii ni kuepuka usumbufu

I BLNG 2 JESUS CHRST

===============

MREJESHO

Uzi huu ulishafungwa na kijana wa kazi alishapatikana.

ASANTENI

I blng 2 jesus chrst
 
vigezo
1.Awe mkazi wa dsm(tabata utapewa kipaumbele)
2.Umri miaka 20-26
3.Elimu atleast for four
4. Awe mwenye kujitegemea kimawazo
5.Location ya duka ni Tbt bima
6. Mzoefu atapewa kipaumbele
7. Awe tayari kutuunganisha na wazazi wake na kuleta barua za viongozi wa eneo analotokea

NB.
Mawasiliano utapewa pm ukishakidhi vigezo na tukifika makubaliano hii ni kuepuka usumbufu

I BLNG 2 JESUS CHRST
Namba yako mbona ujaiweka oky me nko tyr!

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
vigezo
1.Awe mkazi wa dsm(tabata utapewa kipaumbele)
2.Umri miaka 20-26
3.Elimu atleast for four
4. Awe mwenye kujitegemea kimawazo
5.Location ya duka ni Tbt bima
6. Mzoefu atapewa kipaumbele
7. Awe tayari kutuunganisha na wazazi wake na kuleta barua za viongozi wa eneo analotokea

NB.
Mawasiliano utapewa pm ukishakidhi vigezo na tukifika makubaliano hii ni kuepuka usumbufu

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
vigezo
1.Awe mkazi wa dsm(tabata utapewa kipaumbele)
2.Umri miaka 20-26
3.Elimu atleast for four
4. Awe mwenye kujitegemea kimawazo
5.Location ya duka ni Tbt bima
6. Mzoefu atapewa kipaumbele
7. Awe tayari kutuunganisha na wazazi wake na kuleta barua za viongozi wa eneo analotokea

NB.
Mawasiliano utapewa pm ukishakidhi vigezo na tukifika makubaliano hii ni kuepuka usumbufu

I BLNG 2 JESUS CHRST

uwiiiiiiiiii
 
Uwalipe vizuri mkuu bila kusahau na Motisha.. la sivyo mtagawana faida hadi mtaji..mwishowe duka litabaki na makabati tu na vioo vya mlangoni..
 
Uwalipe vizuri mkuu bila kusahau na Motisha.. la sivyo mtagawana faida hadi mtaji..mwishowe duka litabaki na makabati tu na vioo vya mlangoni..
katika kazi mtu akifanya vizuri unashindwaje kumpa motisha???? wala usijali kuhusu hilo

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
vigezo
1.Awe mkazi wa dsm(tabata utapewa kipaumbele)
2.Umri miaka 20-26
3.Elimu atleast for four
4. Awe mwenye kujitegemea kimawazo
5.Location ya duka ni Tbt bima
6. Mzoefu atapewa kipaumbele
7. Awe tayari kutuunganisha na wazazi wake na kuleta barua za viongozi wa eneo analotokea

NB.
Mawasiliano utapewa pm ukishakidhi vigezo na tukifika makubaliano hii ni kuepuka usumbufu

MREJESHO WA AWALI
Wakuu habari ya muda huu..huu ni mrejesho wa awali nimewapata vijana wa maombi walikuwa ni wengi sana kwa hiyo nimechagua vijana watatu ambao tumeahidiana kesho tukutane sehemu ya kazi ambapo katika hao watatu ntamchukua,mmoja ambaye atakuwa na vithibitisho ntakavyovihitaji.......na kesho hyo ntakuja kufunga uzi baada ya zoezi kukamilika

Nashukuru kwa ushirikiano mliounyesha, ambao hamjapata nafasi natumaini mungu atawafungilia njia nanyi ipo siku ndoto zenu zitakamilika.......asante

I blng 2 jesus chrst

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom