Recent content by olfactory

  1. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Wafanye haraka kutoa hiyo hukumu, muwe na uhakika kitaumana.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

    Maisha hayana kanuni. Unaweza kuanza vizuri ukamaliza vibaya na kinyume chake.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Balile aangaliwe kama anazo akili timamu ili asije kudhalilisha anaowaongoza, ikibidi anyang'anywe vyeo haraka

    Njaa ni mbaya sana. Anaongea kama hata hajawahi kuhitimu elimu ya msingi.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Huyu mwamba kama atahukumiwa kifo au kifungo jela, jamii ya wapenda haki na wanademokrasia itakuwa imepata pigo kubwa sana na itatupa kila sababu ya kuchukua mtazamo mpya juu ya namna ya kupigania haki zetu kama wa Tanzania.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Kutii serikali sio kosa. Sasa vinatakiwa kujitathimini, vinapo teka, kuua na kunyanyasa wananchi havifanyi wajibu wao vizuri kwa mujibu wa sheria.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa CCM

    Amejawa na jeuri mno na amekiri wazi kuwa wanaoua, kuteka na kunyanyasa wananchi ni hicho chama cha mkoloni mweusi.
  7. O

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Kabisa, unaruhusuje muuaji, mchawi na mla rushwa kutumia madhabahu?.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza napendwa na 'Choko'

    Mkuu sikufichi ukiwa na ujasiri wa kuchezea kinyesi, ni suala la muda tu nawewe utaliwa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Njia za Uhakika za Kujihakikishia Umaskini

    Bandiko zuri
  10. O

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Aongeze wengine maana akishatoka hizo nafasi hawaji kuzipata tena.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Balile: Oktoba 29 Waandishi tuliwatafuta watu wa kuwahoji, Barabara zilikuwa Nyeupe, Wao walikuwa wapi?

    Makebo yake. Ndio maana tokea hyo october 29 na kuendelea niliacha kuangalia local channels, siji kuangalia kamwe.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

    Hili sio suala la kuwa na D mbili, hata K.K anajua ni wao.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Viapo vyangu nilivyoipaa maishani.

    Mmmmmmm!. Pole kwa yaliyokukuta mkuu.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

    Wachapishe na chupi zenye picha yake.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Tuna safari ndefu sana, ila waambie bwana zako wasijisahau sana, itafika wakati tutapoteana kabisa.
Back
Top Bottom