Recent content by Olesoillel

  1. O

    JamiiForums Tanzania Wadada;hivi mnaelewaje mwanaume akikiambia njoo tupumzike pamoja??

    Sasa si umekubali tuchelewe nn tena ?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Wengine hawazifanyii izo codes kazi wanaishia kusalimia tuu...tech haiwasaidii madomo zege #sema Sana
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Nimekuelewa sana nai Maana kule kwetu hatuombani namba tunaenda direct to the point na ndo mambo yanatakiwa ivoo[emoji4] #Nai
  4. O

    JamiiForums Tanzania Teknolojia gani niitumie nipate taarifa za habari za Radio BBC na DW kuanzia mwaka 1970 hadi 1980?

    Ukipata njia stahiki tujulishe rafiki maana information is power Asante
  5. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.

    Pole Jaribu kujikontro kisaikolojia....kubali kua it's already done no rewinding back! Hope utapata/unae mtu anaekubaliana na hali yako Hauko pekee zaidi ya 86%ya Maa-pastoralist na non pastoral wanapractice fgm. Ni jukumu lako kama muathirika kuielezea jamii inayokuzunguka kinagaubaga juu ya...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    Poleni clouds Mapitoo tuu haya yataisha
Back
Top Bottom