Samatta uwanjani, kesho nitashare live stream kwaajili ya wale wanaotaka kistream ili kuchek ball. Tujuane mapema.
Kizuri share na mtanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, kesho nitashare na nyinyi live stream kwaajili ya kucheck game ya Aston Villa V Bournemouth : Hii ni kwa wale ambao hawatoenda kibanda umiza, au kivyovyote vile but utahitaji kustream.
Najua kuna wengine wanaweza kustream popote wanapopafahamu lakini hii nayowaletea, itakuondolea...
Hapana sio kweli, ukifuta hilo file Apps hazifutiki, unakuwa salama. Lile file lipo kwaajili ya kukusanya data zote unazofanya kwenye simu yako, mfano cached data, kuna mtu kaelezea vizuri hapa short and clear, pitia utaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama reply za watu wengine waliolewa: Kifupi kama upo out of space na hakuna kitu cha muhimu, kuna file la android pale ndani ya file manager huwa linakula space, delete lile file/folder.
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo itakusaidia kama unaona unahitaji nasafi, mfano huna nafasi na hakuna kitu cha muhimu, unaweza fanya hivyo, haina madhara yoyote. Lakini km unakitu cha muhimu unaweza acha, pia siku hizi games zinakuja na file lake yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, unafahamu kuwa kila unapotumia smartphone yako (Android) kuna file linajitengeneza lenyewe linaitea android?
File hili linaweza kubeba takataka zote na kujikuta limechukua nafasi hata MB 500 au 1GB n.k kulingana na device yako. Lakini pia kuna file la WhatsApp, hapa pia kama unahitaji...
Android App /iOS App yoyote kulingana na mahitaji yako : mfano: App ya michezo + blogs, Video, Radio, Doctor App, n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutucheki, lakini pia kwa system za shule, hotel na hospital. Radio Stream na IT support. Tuna uzoefu wa miaka mitano sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.